Skyworth
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 286
- 109
Ndio nini
Kwani TFF si walishweka wazi hili swala Au umeshavuta sigara bwege?Sidhani kama kuna mjadala wa maana wa kufanya hapa labda kama unataka tupoteze muda tu kupiga soga maana bado sijaelewa unachopinga ni nini wakati unakubali kuwa kuna hukumu ya FIFA inayomuhusu mchezaji wa Yanga halafu haujui hukumu inasemaje na haujui mchezaji huyo ni yupi.
Ningekushauri huu muda ungewasiliana na viongozi wako wakupe jina la mchezaji na nakala ya hukumu yake ili kama tunachosema ni kinyume na hukumu hiyo ndiyo uwe na uwezo wa kutusema.