News Alert: FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

images (3).jpeg
 
Kwani na huku vyura bado mna timu mnaishabikia? I thought huwa mnashabikia wapinzani wa mnyama anapokuwa kwenye majukumu ya kimataifa tu maana sisi hatushabikii kilabu chochote zaidi ya chetu ambacho huwa kina fika hizo levels
Una maanisha kufika level zA fainali au?

Kolo witches..
 
Mpira wa Africa bana,hata haivutii fainali yenyewe
Nadhani hii ni mara ya kwanza final kufanyika game moja tu neutral ground sasa hili ni shida sio utamaduni wetu sababu ziko nyingi. Mpira wa Africa unategemea na viwanja vya nyumbani washabiki kutengeneza shamrashamra na figisu nyingi ndio zinafanya final kunoga ukipeleka neutral ground washabiki wa team hizi kusafiri kwa hali zetu Africa umaskini gharama kubwa na visa sio rafiki sasa wenzetu ulaya kwanza visa free halafu kiuchumi wako vizuri na usafiri ni rahisi ndio maana final zao hazijalishi zinachezwa wapi zinakuwa full na hamasa. Nadhani turudi katika mfumo wetu wa home and away, na viwanja Africa sio vizuri haya tuje kufanya siku Africa nzima visa ziwe free na usafiri uwe wa uhakika. Ni sawa Simba na Yanga waingie final halafu uwapangia final Libya unategemea nini?
 
Lini Simba walicheza away game tukasema yes good game mechi zote walizocheza away Simba na Simba ya mkapa vitu viwili tofauti na CAF kupeleka final Nigeria ni kama kupeleka Simba kucheza Algeria hainogi hatuko tayari kuiga Ulaya champions league bado sana huko. Jana ilikuwa fail project turudi kama zamani final zetu home and away.
 
Nadhani hii ni mara ya kwanza final kufanyika game moja tu neutral ground sasa hili ni shida sio utamaduni wetu sababu ziko nyingi. Mpira wa Africa unategemea na viwanja vya nyumbani washabiki kutengeneza shamrashamra na figisu nyingi ndio zinafanya final kunoga ukipeleka neutral ground washabiki wa team hizi kusafiri kwa hali zetu Africa umaskini gharama kubwa na visa sio rafiki sasa wenzetu ulaya kwanza visa free halafu kiuchumi wako vizuri na usafiri ni rahisi ndio maana final zao hazijalishi zinachezwa wapi zinakuwa full na hamasa. Nadhani turudi katika mfumo wetu wa home and away, na viwanja Africa sio vizuri haya tuje kufanya siku Africa nzima visa ziwe free na usafiri uwe wa uhakika. Ni sawa Simba na Yanga waingie final halafu uwapangia final Libya unategemea nini?
Kweli mkuu
 
Baada ya kuwafunga nyie mpo wapi?boya
Team zikifuzu world cup zinashangila na hazina ata uwezo wakuvuka group stage kwanini sisi tusishangilie kucheza na mafinalist nakupata matokeo

Mnauliza tupo wapi bado tupo kimataifa , na nyie mpo fanyeni icho mnachoona ni uboya
 
Uzee wa wachezaji wa As Vita wakina Shaban Juma na wengine ulimfanya Florent Ibenge afukuzwe pale As Vita wakati Ibenge ni kocha mzuri.
 
Nadhani hii ni mara ya kwanza final kufanyika game moja tu neutral ground sasa hili ni shida sio utamaduni wetu sababu ziko nyingi. Mpira wa Africa unategemea na viwanja vya nyumbani washabiki kutengeneza shamrashamra na figisu nyingi ndio zinafanya final kunoga ukipeleka neutral ground washabiki wa team hizi kusafiri kwa hali zetu Africa umaskini gharama kubwa na visa sio rafiki sasa wenzetu ulaya kwanza visa free halafu kiuchumi wako vizuri na usafiri ni rahisi ndio maana final zao hazijalishi zinachezwa wapi zinakuwa full na hamasa. Nadhani turudi katika mfumo wetu wa home and away, na viwanja Africa sio vizuri haya tuje kufanya siku Africa nzima visa ziwe free na usafiri uwe wa uhakika. Ni sawa Simba na Yanga waingie final halafu uwapangia final Libya unategemea nini?
Nikweli ila ilikuwa uboya kucheza fainali mbili........sema hakuna blanding nzuri ya hayo mashindano,na promotion ni veri pua
 
Nadhani hii ni mara ya kwanza final kufanyika game moja tu neutral ground sasa hili ni shida sio utamaduni wetu sababu ziko nyingi. Mpira wa Africa unategemea na viwanja vya nyumbani washabiki kutengeneza shamrashamra na figisu nyingi ndio zinafanya final kunoga ukipeleka neutral ground washabiki wa team hizi kusafiri kwa hali zetu Africa umaskini gharama kubwa na visa sio rafiki sasa wenzetu ulaya kwanza visa free halafu kiuchumi wako vizuri na usafiri ni rahisi ndio maana final zao hazijalishi zinachezwa wapi zinakuwa full na hamasa. Nadhani turudi katika mfumo wetu wa home and away, na viwanja Africa sio vizuri haya tuje kufanya siku Africa nzima visa ziwe free na usafiri uwe wa uhakika. Ni sawa Simba na Yanga waingie final halafu uwapangia final Libya unategemea nini?
Ulichokisema ndio uhalisia mkuu.
Ingawa huu ni msimu wa 3 kuchezwa Fainali moja pekee na sio msimu wa kwanza.
 
Back
Top Bottom