Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,650
- 188,969
Sawa Mkuu Haya Maneno Yatunze MkuuSina wasiwasi na Derby
Sawa Mkuu Haya Maneno Yatunze MkuuSina wasiwasi na Derby
kule mie nilipita mda mbona, simuoni wa kuniteta humu ndanii.Udugu leo ulikuwa wapi?? Kuna sehemu nilipita nikaona wanakuteta
Ya Al Ahly si ya 5imba hii mbovu..!!Hata Mamelodi amewahi kumkanda Al Ahly 5, tena mara mbili Miaka ya hivi karibuni, ila bado Al Ahly ndio timu namba moja kwa ubora Afrika
Ukiona unaanza kuamini tulitumia mshetani, maana yake mnatuona tuna uwezo walionao mashetani..!! Kwamba kiwango chetu kipo juu sana kuliko nyie.Mlitumia sijui mashetani gani mara yawazimishe mara yawape maelekezo mpake blitch.
Kitendo cha wewe kusema tarehe 20 hutakuwa online unadhani siyo woga?Hamna shida kwani nani kawaambia tunawaogopa?
Pole lakini.kwani hata match ya leo ilikua inanipa hype? Yaan niko kimyaaa km hakijatokea kitu.
Na yule wa KMC yupo wapi?Hivi kipa wa Simba Abelli aliyetoka timu ya Prison yuko wapi ?
Hilo galasa lishamloga mwenzake?
Kama Manyula?
Subiri siku yaanze kutaka mambo ya ajabu ajabu.Ukiona unaanza kuamini tulitumia mshetani, maana yake mnatuona tuna uwezo walionao mashetani..!! Kwamba kiwango chetu kipo juu sana kuliko nyie.
Wamekuteta bana 🤣🤣🤣🤣kule mie nilipita mda mbona, simuoni wa kuniteta humu ndanii.
🤣🤣🤣🤣....! Kereng'ende wee. Nakusaidia mwenyewe,ujikomboe kwenye hayo matesoPanya weee hatufiii
Kwanini usiende majukwaa mengine kuliko kushinda jukwaa la wapumbavu?Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Hapana lazima mnyooshe maelezo ili mueleweke, ubora au ubovu wa timu ni kushinda na kufungwa au ni nini, siyo mnachagua pa kutumia hivyo vigezoYa Al Ahly si ya 5imba hii mbovu..!!
Umeliwa kibogaSisi mashabiki lia lia wa
Mwiko Nyuma FC
Malalamiko SC