joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,294
- 32,080
Ngao ya hisani tulitembeza muamala kwa VIPORO FC.Bila muamala kipa hawezi kudaka vile na akafungwa goli lile la pili.
Ngao ya hisani tulitembeza muamala kwa VIPORO FC.Bila muamala kipa hawezi kudaka vile na akafungwa goli lile la pili.
Ila Ilikuwa offside kama umeangalia vizuri!Wale wachezaji wawili wa yanga waliokwenda kusubri rebound walikuwa wameotea!Shuti Kali Mpaka Mtu Anachachawa
Kalitafute goli la Asec mimosa, wakati VIPORO FC wanatunguliwa tatu, kipa alifungwa goli gani.Hapo Kipa money in the bank magoli gani hayo hata mtoto hafungwi.
Basi tufanye tunaongoza kwa goli 1-0.Ila Ilikuwa offside kama umeangalia vizuri!Wale wachezaji wawili wa yanga waliokwenda kusubri rebound walikuwa wameotea!
Utopolo mnaharibu ligi. Kipa wa ligi kuu hawezi kudaka vile yaani unapeleka mpira nyavuni badala ya kudaka.Muwekeni Aishi Manula basi ili na yeye tumtungue.
🤣🤣Tupo wewe tuna wachora tu.
Wajinga hawa ..Hii Dodoma jiji kuna muamala umethibitishwa si kwa mchezo huu
Mngecheza Mechi Zenu Vizuri Haya Yote Yasingewatoka Kwenye Midomo YenuMnanunua game kwa bahasha halafu mkienda caf mnapigwa mbele nyuma, nje ndani.
Mimi nimeona harufu ya offsideHili goli la 2 la Yanga bonge la goli
Kwani Waliuingilia Mpira?Ila Ilikuwa offside kama umeangalia vizuri!Wale wachezaji wawili wa yanga waliokwenda kusubri rebound walikuwa wameotea!
Hahahaha hizo bunduki kama watapima uzito wake si chini ya kilo 70 sasa usukumiwe kitu cha kg 70 utafanya niniHapo Kipa money in the bank magoli gani hayo hata mtoto hafungwi.
Hapana,mi nazungumzia matukio!Basi tufanye tunaongoza kwa goli 1-0.
Ungekuwa unajiongeza, basi ungeangalia magoli mengi aliyofungwa golikipa wenu Aishi Manula ni ya aina gani! Halafu ungekuja faster kufuta hiki ulicho kiandika hapa.Hapo Kipa money in the bank magoli gani hayo hata mtoto hafungwi.
Nani alikuwa offside pale na amehusika na mpiraMimi nimeona harufu ya offside
Mngecheza Mechi Zenu Vizuri Haya Yote Yasingewatoka Kwenye Midomo YenuNdugu Dodoma Jiji ,umepokea kiasi cha sh ....Muamala number FVK648383. kutoka gsm kwa ajili ya kuachia magoli. Salio lako jipya ni sh...
Umeona hio assist?Moloko sijui wanampendea nini mpk kuanza leo.
Tukupe wewe uwe kochaHuyu kocha anajielewa kweli?