FT: ASEC Mimosas 3-0 Galaxy | CAF CL | 19.12.2023

elijaah

JF-Expert Member
Jul 13, 2023
466
826
Game inachezwa mda huu wana Simba ombeni Mungu galaxy afungwe vyenginvyo bado itakua mupo ktk nafas mbaya.

1703011619449.png
 
Game inachezwa mda huu wana Simba ombeni Mungu galaxy afungwe vyengivyo bado itakua hamuko nafas nzur.
Ikiisha kwa Galaxy kufungwa inamaana kuelekea match day 5, timu tatu zitakuwa na nafasi kila mmoja kuvuka isipokuwa Asec atakuwa kafuzu moja kwa moja kwenye kundi lao.
Ila ikiisha kwa kwa Galaxy kushinda itabadilila na kuwa ni vita ya wote wanne kutaka kufuzu
 
Back
Top Bottom