From webcam chatin to kukutana live. Je analika??

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Wakuu, poleni na shughuli za hapa na pale za kujipatia liziki zenu, Naomba ushauri wenu kwani nipo katika mtihani mgumu, nimekuwa nikichat na msichana mmoja ambae ni mtanzania anayeishi Uganda kwa mwaka mmoja sasa, tulianza kama utani mpaka tukafikia stage ya kuwa tunaongea vitu vya kiutu uzima na kuchat kwa kutumia webcam, cha ajabu ni kwmba wakati tunapotumia webcam binti huwa anafanya vituko sana na amefikia stage ya kunionyesha umbo lake la ndani, mtoto analipa sana na she drive me crazzy. Mungu si athumani binti amekuja Tanzania na anataka tuonane na nikamchakachue siku hiyo hiyo. Swali Je kwa wale wataalamu wa desktop datin hii kitu uwa mnaifurahia?. Je kwa wale waishio Uganda au walioishi kule takwimu za VVU zikoje?. Wewe kama rafiki yangu na mshauri wangu wa karibu unanishauri nini?
 
Baba kuna msemo wa kiswahili usemao "sumu haijaribiwi kwa kuionja" na vilevile ukumbuke wasafirisha madawa ya kulevya huyafunga vizuri ndani ya nailons na kisha kuyameza na wanabaki kuwa salama lakini nailons hizo zikipasuka safarini basi ndio huwa kifo cha msafirishaji kwa hiyo akili kichwani kwako kwani nina imani unazo za kutosha.
 
Baba kuna msemo wa kiswahili usemao "sumu hajaribiwi kwa kuionja" na vilevile ukumbuke wasafirisha madawa ya kulevya huyafunga vizuri ndani ya nailons na kisha kuyameza na wanabaki kuwa salama lakini nailons hizo zikipasuka safarini basi ndio huwa kifo cha msafirishaji kwa hiyo akili kichwani kwako kwani nina imani unazo za kutosha.

mmmh,fumbo zuri hilo
 
Back
Top Bottom