Fremu ya biashara Moshi mjini inapatikana

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,123
Habari wandugu,

Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii..




FREMU IPO KARIBU NA SHELI YA PANONE , KWA KIUFUPI NA NI KATIKATI KABISA , FURSA ZA KIBIASHARA...........
Bei yake kwa mwezi ni 300,000 tu ...

Waweza wasiliana na mimi 0672701329..Kwa maelekezo zaidi....Kuiona....

(ku post picha no , ni vyema uje uione na ni bure kuja kuiona )

ASANTE.
 
NICHEKI UJE UIONE FREMUIPO KARIBU NA SHELI YA PANONEHAPA MOSHI MJINI
 
Back
Top Bottom