Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

IMG_4266.JPG
 
Pitia Link aliyokupatia Lokissa hapo juu ina kila kitu kuwahusu hao jamaa!
 
Hebu soma kitabu cha Albert Pike "MORAL & DOGMA" google halafu andika jina la kitabu on web
 
Ndugu,
hizo mada zimeshajadiliwa sana, we unairudia hii. Nenda Jamii Intelligence zipo nyingi zitakusaidia. Pia kusoma mwenyewe inasaidia zaidi kuliko kuambiwa coz you won't get the details.

Kuhusu babu wa Loliondo, Yule Babu ni Mganga wa kienyeji na ni member mwenye cheo kikubwa tu katika ufalme wa giza(Lucifer) in which freemasonry and Illuminati are parts. Na huduma yake ililaaniwa na watumishi wa Mungu ili asiendelee kudanganya watu na kuwaua. Source "Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira"
 
Wewe ungekuwa mwanamke basi unaonekana ungependa upewe kila kitu, link zipo kwa nini usiingie usome mwenyewe ili ujuwe kile unachotaka kujuwa kuhusu wao? kwa nini utumie neno nasikia wakati unao uwezo wa kuprove? mwaka 2012 hatuhitaji watu wazembe maana wanaligharimu Taifa na mbaya zaidi gharama hiyo tunalipa wote.

Matola...!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wana JF naombeni mnielimishe kidogo mnachojua kuhusu huu mtandao wa freemasons.
>Je,ni jinsi gani wanafanya kazi katika jamii?
>Je kuna ukweli wowote kuhusu uhusiano kati ya fremasons na BABU WA LOLIONDO na SOCIAL NETWORKS kama Facebook,Tweeter nk?
>Ni nini malengo ya mtandao huu ambao mimi nauona ni hatari sana?
>Je,wanaweza vipi kumbadili mtu na kumfanya mwanachama wao?
>Je,kuna ukweli wowote kwamba kuna baadhi ya waimbaji wa muziki wa bongo flavour,hip hop nk ni members wa mtandao huu?
NB:SIHITAJI KUJIUNGA,NINAULIZA ILI NIWEZE KUPATA MAJIBU YA MASWALI MENGI AMBAYO NIMEKUWA NIKIKUTANA NAYO MTAANI.Na kama una maelezo zaidi ya kunisaidia kuelewa zaidi kuhusu mtandao huu naomba unijuze au website! Asante.

Freemasons ni waumini wa satanist secret organisations, zimetapakaa sana duniani hata hapa kwetu Tanzania zipo na kuna members. Sina hakina kama hapa Tanzania kuna lodge zao, lakini wako wengi kiasi matajiri na baadhi ya waheshimiwa. Ukitaka kujua wao ni nani soma kitabu kinaitwa " The Biggest Secret" sikumbuki vizuri jina la mwandishi nadhani ni Ecke. Utasikia pia watu wanaoitwa reptilians ambao hata hapa nyumbani wapo, .

Nguvu yao na malengo yao ni kuleta new world order ambayo itakuwa na makundi mawili ya watu( mabwana wakubwa na watwana mafuka)....imact ya nguvu yao itaanza kuonekana katikati ya mwaka huu na kuendelea. Do not ignore this post. This thing is real.
 
Si mashariti yetu kukupa kila kinachofayika kuhusu sisi kwa mtindo huu unaotaka wewe. Ukitaka kujua mengi jiunge nasi ili ufahamu kwa undani mengi zaidi kuhusu sisi. Vinginevyo hapa utapoteza muda bila kujua habari zetu ki undani.
Mi nipo teyari kujiunga nipe maelekezo zaidi.
 
Freemasons ni waumini wa satanist secret organisations, zimetapakaa sana duniani hata hapa kwetu Tanzania zipo na kuna members. Sina hakina kama hapa Tanzania kuna lodge zao, lakini wako wengi kiasi matajiri na baadhi ya waheshimiwa. Ukitaka kujua wao ni nani soma kitabu kinaitwa " The Biggest Secret" sikumbuki vizuri jina la mwandishi nadhani ni Ecke. Utasikia pia watu wanaoitwa reptilians ambao hata hapa nyumbani wapo, .

Nguvu yao na malengo yao ni kuleta new world order ambayo itakuwa na makundi mawili ya watu( mabwana wakubwa na watwana mafuka)....imact ya nguvu yao itaanza kuonekana katikati ya mwaka huu na kuendelea. Do not ignore this post. This thing is real.

Asante mkubwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom