Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

jamani nasikia kuna kitu kinaitwa freemasons then wao wanataka kuutawala ulimwengu na sasa hivi wapo katika mkakati wa kumaliza azma yao je kweli?? vipi nasikia watu watawekwa chipu ndani ya mwili ambayo iatakuwa chapa ya mnyama ambapo mtu hatoweza kununua kitu mpaka awe na namba hizo vipi kwelii????
 
kiimani imezungumzwa sana na watu wanaamini hivyo. Japo sijui tofauti iliyopo kati ya mpinga kristo, Freemason, na new world order ikihusishwa na hiyo chapa ya mnyama yaani 666. .

kiuhalisia watu wanapinga vilivyo kwa madai kuwa ni nadharia tu za kutunga
 
Mkuu si uulize huko ulikosikia halafu ulete mrejesho hapa? Wewe unasikia kwingine unakuja kuuliza kwingine. The Boss anasemaga interesting.
 
It's true soon wanaanza hiyo kazi!..ucje ukaikubali hio namba 666.wala kumsujudu kwa kua atatawala kwa muda mfupi tu.he is against God almighty!..
 
jamani nasikia kuna kitu kinaitwa freemasons then wao wanataka kuutawala ulimwengu na sasa hivi wapo katika mkakati wa kumaliza azma yao je kweli?? vipi nasikia watu watawekwa chipu ndani ya mwili ambayo iatakuwa chapa ya mnyama ambapo mtu hatoweza kununua kitu mpaka awe na namba hizo vipi kwelii????
Bila shaka wewe ni M7to eeh??? maana ndio wanaofikiriaga ile siku ya mwisho tu plus Freemasos, hawana kingine wanachofikiria zaidi.
 
jamani nasikia kuna kitu kinaitwa freemasons then wao wanataka kuutawala ulimwengu na sasa hivi wapo katika mkakati wa kumaliza azma yao je kweli?? vipi nasikia watu watawekwa chipu ndani ya mwili ambayo iatakuwa chapa ya mnyama ambapo mtu hatoweza kununua kitu mpaka awe na namba hizo vipi kwelii????
Epuka kukaa na kusimuliwa hadithi na watu unaoamini kabisa kwamba ni wajinga wajinga hivi..

Watakuaminisha vitu vya kijinga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom