Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,146
- 13,216
Pamoja na kupongeza jitihada za Ujio wa FCS ambazo zimeibua utitiri wa NGOs nchini (kwa tamini yangu ya haraka, karibu kila kona utakuta kibao cha NGO) NAJIULIZA IWAPO KUNA TIJA KWA JAMII KWA KUWEPO KWA ASASI HIZI au ndio vile wanasema ni Nothing Going On (NGO) .....niliona majuzi hata Ma DR. wameamua kukimbilia kufungua NGOs, TENA ZA UTAWALA BORA ALBEIT INGEKUWA KUHUSU MASUALA YA AFYA..........hata wafanyabiashara wengi tu nao wameamua kufungua NGO kutokana na ruzuku lukuki zainazomwagwa na NGO. Mathalani, kuna NGOs ZINAFANYA ADVOCACY YA MASUALA YA Ufuatiliaji wa Pesa za Umma lakini ndio kwanza CAG anasema zaidi ya 20% YA FEDHA ZA UMMA ZINATAFUNWA....najiuliza pia iwapo kuna ufuatiliaji wa jinsi NGOs HIZI ZINAVYOTUMIA RUZUKU MBALIMBALI KUTOKA KW WABIA WA MAENDELEO (charity begins at home) naamini kabisa kwamba uozo uliopo kwenye NGOs UNAZIDI ULE ULIOPO SERIKALINI.......
Ni suala linalohitaji mjadala..
Ni suala linalohitaji mjadala..