Forodhani Zanzibar

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
Ile bustani ya forodhani pale zanzibar kwa watanzania wote tuna la kujifunza. La kwanza ni USAFI, hili eneo usiku mambo yanayopatikana pale kwa waliofika ni bites,juice hata uwanja woote unajaa, lakini hupati kinyaa wala uchafu kuzagaa, ukija kesho yake panakuwa km vile hakanyagi mtu ndani mle, hata ganda la pipi chini hupati, kwani pale wanafanyaje? Hatuwezi kueneza kila mahali?

Secondly ni MAZINGIRA mazuri, mimi naamini wale watu wamepata culture nzuri tu ya kupenda mazingira na kuyatunza kwa kutoyafanyia fujo, kwa kukojoa, kutupa taka, kufanyia uwanja wa ngono , pombe n.k.

Ebu badala ya kwenda Ulaya kujifunza utunzaji wa mazingira tuige yaliyowezekana km znz, moshi, pia mwanza nilienda kuna maeneo masafi wanajitahidi, but Moshi no1, Znz pale forodhani excellent
 
PAMETULIIIA,ka ughaibuni vile:confused::confused::confused:
 

Attachments

  • zn.jpg
    zn.jpg
    66.8 KB · Views: 89
  • znj.jpg
    znj.jpg
    162.8 KB · Views: 95
  • zz.jpg
    zz.jpg
    36.8 KB · Views: 81
Ebu badala ya kwenda Ulaya kujifunza utunzaji wa mazingira tuige yaliyowezekana km znz, moshi, pia mwanza nilienda kuna maeneo masafi wanajitahidi, but Moshi no1, Znz pale forodhani excellent
Moja ya mambo ninayokumbuka vizuri ni kwa Jiji la Mwanza kushika nafasi ya kwanza kwa Mazingira katika miaka miwili mfululizo... 2006-8
 
Na mji unaoongoza kwa kuchafua mazingira ni Dar -es- Salaam.

Barabara zilitengeneza na wachina lakini taa ikiharibika ndio good bye hakuna ukarabati wowote.

Morogoro road kumbe ilimalizwa lini ile barabara mpaka ikatelekezwa vile!?
 
Hongera sana Znz. Ingawa wengi tulinuna tulipoambiwa Foro inafungwa kwa matengenezo.
 
Back
Top Bottom