The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
na sio nchi maskini nilisoma mtaalama mmoja wa mambo ya uchumi kwenye makala yake jama alaikuwa anataka kuzipa emergng maret economy say kubwa kwenye imf.
Sasa kama unavyosema hili shirika la imf ndio kama tool kubwa ya kutumika kunyonya mataifa madogo. Wakubwa( usa, uk) nadhani walimuonya threat kwa maslahi yao kuingiliwa
lakini na yeye ana weakness na totos. As tulivyo wanaume wengi kuna jamaa alisema culture zina tofauti hata ulaya kuna mambo unaweza kufanyaf rance isiwe big deal lakini ukifanya usa ndo kama hivyo......
Binafsi nadhani yule dada alikubali cha chap chap kwa ridhaaa yake sema baadae ndo wajanja wakamrubuni.
mkuu emerging economy nation ndio hizo nchi masikini
i mean mfano brazil....
Walimpa onyo hakusikia..
Aliwahi kutoa ripoti inayoonyesha by 2050 us itaku ya tatu kiuchumi
nyuma ya india,china
naona aliwauudhi sana hapo....
Na wao wanajitahidi kuzuia yote hayo