Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Okay kama hayuko regulated hapo sawa hata mimi nitabidi nifanye kuwa review tena..ku withdrawal mara ya mwisho pesa kubwa ni 400 usd na hizi ndogo ndogo 20..50..70 mara nyingi tu hata kesho na target kutoa 30
 
Kiasi kikubwa wewe kutoa ilikuwa how much ????

Halafu suala sio kutoa au kuweka hela issue hapa ni kuwa huyu broker hayupo regulated
thumb up you have started to enter at the point forex not a one day dreams
1. hata kama umewin trades jua alipunguza % ya wewe kuwin big amount kutokana na spread kubwa kama watu walivyopigwa na jp markets mwanzoni inapunguza $$, late execution wanachelewesha kuexcute trade hata kama una strong internet jaribu hili alafu kwenye exiting trade wanafanya vice versa ya late execution
2. ikifika watu wamekuza a/c zao mtaona watakavyoyeyusha a/c za watu au ukiwa consistent trader watakuwa na figisu zao because there is no one to asses them they are neither regulated broker nor registered anywhere in the world i guess even the provided location bases not true continue trade with them.
 
Mkuu haya maswali nimekuwa najiuliza saaaana nashukuru leo nimepata mtu wa kunitoa tongotongo...

Hebu nipe broker wako nianze kumfanyia kazi
 
Mkuu we unatumia broker gani
 
wewe unatumia broker gani mzuri?
 
Mkuu haya maswali nimekuwa najiuliza saaaana nashukuru leo nimepata mtu wa kunitoa tongotongo...

Hebu nipe broker wako nianze kumfanyia kazi
Daud1990 first you need bank a/c, a broker a/c not forex broker companies that dealing with online money transfer like skrill, netteller, paypal, and the likes there are money. why?
because iwant to transfer money to a broker not directly from a bank, you may find that now i have trading with this broker but market condition is not good for now they have big spread this week and i know this after surveying into all my accounts with brokers login log out because am confident with my trades so the pair movement is the same but spread is efferent across all brokers at different time
Then i may found that this week i have to trade with a certain broker so its easy trasfering money from your online wallet to another broker then business goes on, than transfering directs from a bank to a broker its not efficient and costfully
Broker to recommend if you are living outside Tz use ICMARKETS it is a real ECN broker, FXpro, FxTM they have invested big in forex ,many many brokers just do this when cruising on broker website look where registered and regulated by who?
Also look for true ecn a/c how? it has got commission will be taken from your trades why commission matters? means that your trade will be executed direct from liquidity provider(banks) and you aint a newbie into this business you demanded ecn a/c because you want good spreads you they have to take something from what you benefited to because that amount didnt come from their account.
But for accounts that not ecn first when trade lost money goes into their a/c not liquidity provider because then pc is just a liquidity provider(joking), won trade reduced winning % through bid spread so they dont have the reason of charging commision. So stay alerted

Kuna mengi but time is limited
Kiswahili kina mlolongo mwingi wa maneno sorry for readers

Sharing is caring
 
"Templer are not good for scaplers" Kuna siku nlikuwa nasubiria kutrade news,sikuamini macho yangu spread zilishoot kutoka 5 mpaka 48 in matter of sec
liquidity provider ni mifuko yao unataka kuwapga kwa nguvu??
 
Daud1990 first you need bank a/c, a broker a/c not forex broker companies that dealing with online money transfer like skrill, netteller, paypal, and the likes there are money. why?
because iwant to transfer money to a broker not directly from a bank, you may find that now i have trading with this broker but market condition is not good for now they have big spread this week and i know this after surveying into all my accounts with brokers login log out because am confident with my trades so the pair movement is the same but spread is efferent across all brokers at different time
Then i may found that this week i have to trade with a certain broker so its easy trasfering money from your online wallet to another broker then business goes on, than transfering directs from a bank to a broker its not efficient and costfully
Broker to recommend if you are living outside Tz use ICMARKETS it is a real ECN broker, FXpro, FxTM they have invested big in forex ,many many brokers just do this when cruising on broker website look where registered and regulated by who?
Also look for true ecn a/c how? it has got commission will be taken from your trades why commission matters? means that your trade will be executed direct from liquidity provider(banks) and you aint a newbie into this business you demanded ecn a/c because you want good spreads you they have to take something from what you benefited to because that amount didnt come from their account.
But for accounts that not ecn first when trade lost money goes in their a/c not liquidity provider because then pc is just a liquidity provider(joking), won trade reduced winning % through bid spread so they dont have the reason of charging commision. So stay alerted

Kuna mengi but time is limited
Kiswahili kina mlolongo mwingi wa maneno sorry for readers

Sharing is caring
Asante kwa ufafanu murua ,

Mimi nipo tanzania naomba unisaidie good brokers wanao-operate hapa bongo
 
Je hapa (bold) unamaanisha nini hasa??
Wakati tayari umetajiwa broker bora kama FXpro, & FxTM iwapo upo Tanzania.
 
AMLIGHT , muogope Mungu sheikh! Wewe ni fundi wa kutoa signal za uongo sijui templer wanakupa nini wallah.... Ila jua malipo ni hapahapa duniani. Kwenye group lako mbwembwe nyingi kuwa unauza indicator yenye 95% winning (mbfx kama sikosei) yaan we jamaa nakumind kweli umekula laki yangu kwa indicator ambayo ina repaint kuliko maelezo! Ila ulinifumbua macho kuwa nisitegemee indicator tena
 
Daaaah pole sana mkuu, hao ni matapeli . Samahani almighty kwa kukuita tapeli
 
mimi naomba niwashauri watz wenzangu forex lifestyle itawaua, wasouth watawafanya mpotezeze pesa zenu people are selling people wachache sana ndo traders wa ukweli wao kujua kiingereza sio kuwa wanaijua Fx, Forex is business, Forex needs discipline forex need consistence.
Hawa sio traders wao kuonyesha magari tu haha no even results mimi nawapta kwa matokeo mazuri

wapo wengi people got scammed through those mass wishes to themselves after buying cars with people hard earned money.
Naona wabongo nao wameanza kupost kwenye IG zao pambaneni kwanini unaopost? Unataka uwaaminishe watu unazijua candles ili uanze kuwafundisha wakupe pesa zao upate pa kushindia kwa sababu Fx huijui vizuri.
Kuna wengine wanauziwa indicator Moving Average imebadilishwa jina inaitwa mk45 hahaha na wamekula joining fee za watu 250k hzo indicator msitumie ni lagging indicator zinabase kwenye previous price data and nothing they can predict about the comming pattern.
traders wengi bado hawana skills kazi kutumia indicator na kubu/sell kwenye tops au downs vipi ikiwa wiki nzima ni consolidation na breakout utapata pa kutokea kweli.
Wanapowachanganya ni pale wanapopost hela ambayo matokeo yao hayaonyeshi pesa wanazosnap ni joining fee za watu kwanini nasema hivi? ni watu wa show off and that is their psychology and traits so wangekuwa na matokeo makubwa wangeweka IG ili wapate wateja wengi zaidi ila hawana skills and they are not good in Fx.
Deal with mt4 is where orders executed, deal with IG is where people got scammed
angalia video kuanzia 3:50 utajua indicator sio reliable na zitakumaliza japokuwa hawajaziweka kama weakness ila zichukuwe kama weakness you dont have to believe anything comming around.

Natamani nianzishe free online classes just first to implant trading psychology ila watz kila mtu mjuaji nilikuw namsaidia mmoja akajidai mjuaji nkazima Teamviewer nkaachana nae anatuma tu emails.
 
mimi naomba niwashauri watz wenzangu forex lifestyle itawaua, wasouth watawafanya mpotezeze pesa zenu people are selling people wachache sana ndo traders wa ukweli wao kujua kiingereza sio kuwa wanaijua Fx, Forex is business, Forex needs discipline forex need consistence.
Hawa sio traders wao kuonyesha magari tu haha no even results mimi nawapta kwa matokeo mazuri

wapo wengi people got scammed through those mass wishes to themselves after buying cars with people hard earned money.
Naona wabongo nao wameanza kupost kwenye IG zao pambaneni kwanini unaopost? Unataka uwaaminishe watu unazijua candles ili uanze kuwafundisha wakupe pesa zao upate pa kushindia kwa sababu Fx huijui vizuri.
Kuna wengine wanauziwa indicator Moving Average imebadilishwa jina inaitwa mk45 hahaha na wamekula joining fee za watu 250k hzo indicator msitumie ni lagging indicator zinabase kwenye previous price data and nothing they can predict about the comming pattern.
traders wengi bado hawana skills kazi kutumia indicator na kubu/sell kwenye tops au downs vipi ikiwa wiki nzima ni consolidation na breakout utapata pa kutokea kweli.
Wanapowachanganya ni pale wanapopost hela ambayo matokeo yao hayaonyeshi pesa wanazosnap ni joining fee za watu kwanini nasema hivi? ni watu wa show off so wangekuwa na matokeo makubwa wangeweka IG ili wapate wateja wengi zaidi ila hawana and they are not good in Fx
angalia video kuanzia 3:50 utajua indicator sio reliable na zitakumaliza japokuwa hawajaziweka kama weakness ila zichukuwe kama weakness you dont have to believe anything comming around.

Natamani nianzishe free online classes just first to implant trading psychology ila watz kila mtu mjuaji nilikuw namsaidia mmoja akajidai mjuaji nkazima Teamviewer nkaachana nae anatuma tu emails.

Kipago nakuelewa sana ila kitendo cha kukuandikia meseji mara kadhaa bila kunijibu kimenisononesha saaaaana...

Nakufuatilia sana asante
 
Usiwe na haraka ya kutrade market is there kuwa na haraka ya kupata knowledge
since last year July i was on demos till january is when i started live trading people cant be serious you just want to walk while you didnt crawl
upload_2018-3-28_13-24-20.png
 
ntawajibu wangapi? what am sharing here is valuable than starting to respond to each one who sent PM, man.. what kind of person are you.
Anyway there is no holy grail, grind it yourself and i know you will be fed up.

Usiwe na haraka ya kutrade market is there kuwa na haraka ya kupata knowledge
since last year July i was on demos till january is when i started live trading people cant be serious you just want to walk while you didnt crawl
View attachment 727561
Mku mbona unajibu kama nimekukwaza , samahani sana boss
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom