Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Beautiful week ahead traders

Weekend imeisha tumeianza week nyingine. Nina matumaini hii itakua wiki ya mwisho kwangu kukamilisha kila kitu, then week ijayo we take off the ground. Pia naamini wengi wenu mnaendelea kujifunza na kuelewa msitu wa forex - hua tunasema '''Forex forest''' kwa kusoma vitabu.

Nina wazo 1 naomba tushauriane bosses :- Nina kitabu ambacho ningependa wote mkisome, yani hiki naeza sema ni A million dollar book, must read. Ukikisoma hiki unaondoa upupu wote kichwani - ukija class mimi na team yng ni kukupa tu strategy za kudownload pesa kutoka sokoni, na kisha tufanye live trade pa1, yani ukikisoma afu ukaja class ni km utakua unamsukuma mlevi.

Sasa shida ya hiki kitabu ni nilikinunua SA, na ni hardcopy - makumbuka nililipa Rand 650, km 105,000 TZS. Nimejaribu kila niliwezalo kupata soft copy yake lkn hakuna. Sasa ningependa nyinyi wote mkipate, maana strategy zilizopo humu ndani 80% ndizo mimi na team nzima tunazitumia.

Je tunafanyaje?! Mimi nilifikiria nimwagize kijana wangu m1 akichapishe, then tuangalie gharama itakua ngapi, kina page km 270 hivi, kisha dogo avipeleke steshenari fulani, wale watu wa Dar wataenda kukichukua from there.

=========================

Hua nina kawaida siku ya J3 kama leo silikurupukii soko hadi London session uanze - maana soko likitoka weekend hua lina hangover. sasa usiku wa leo nilikua ninakamua kitabu fulani kinaitwa How to profit in Gold, nilivyotaka kulala nokacheki soko kidogo (fx is an addiction), nikaona setup zimekubali, na fursa iko kwenye screen, nikaingia sokoni, nikalamba laki 3 za chap chap nikalala kwa amani
d74252be34d46d9d8b3b09744ef02ba0.jpg
Wazo zuri boss....Reading is power....let's exploit much knowledge as we can..
 
Fanya fasta aisee Mkuu ONTARIO ukichape hicho kitabu napita dar hapo nataka kukifuata saivi mi nasoma madude tu nataka niive kwenye theory kwanza kabla sijaaingia kwenye prac.

Hii kitu nimedhamiria kwelikweli nataka iwe ndo investment yangu nitawekeza humu ili mradi nijue rules .so mkuu tulishe madini.

Pia kwa wote ambao tunaanza kama utataka kupata ufahamu na hii mambo

Unaweza ukadownload app inaitwa GO forex huko play store inaeleza vizuri sana then unaweza kuendelea na ma heavy weight books ili kujua namna ya kutusua kibishi.

Pamoja sana.
 
Ni ushauri mzuri sana mkuu...ila nilikuwa namshauri ontario kuwa ili kuepuka hasara ambayo ingeweza kutokea endapo atatoa copy nyingi halafu watu wasichukue ni bora watakaokuwa wanahitaji waka m-PM ili aweze kujua idadi halisi ya wanaohitaji hizo copy.
Nyongeza ya hapo. Kuna wengine tuko mikoani sasa inakuwa ni issue kukipata in hard copy kwa mazingira tuliyomo. Nawaza kama kuna anayeweza kutufanyia favor kwa kuscan kwa kutumia app Fulani iko play store inaitwa CamScanner. Kisha atupandishie hapa jukwaani ili sote tufaidike.
 
Sijajua ONTARIO unatumia vigezo gani ku enroll watu kwenye hilo group la watu 300, ila pia ningependa kuwepo. By the way bado naendelea kujifunza kupitia google, vitabu na youtube. Na nimeshafungua demo account na kuanza kutrade. Na hongera sana kwa kuleta hili swala

Ningependa kuwa mmoja wa hao 300
 
Sijajua ONTARIO unatumia vigezo gani ku enroll watu kwenye hilo group la watu 300, ila pia ningependa kuwepo. By the way bado naendelea kujifunza kupitia google, vitabu na youtube. Na nimeshafungua demo account na kuanza kutrade. Na hongera sana kwa kuleta hili swala

Ningependa kuwa mmoja wa hao 300
Hakuna kundi la watu 300 mkuu,soma vizuri
 
Wakuu kuna brokers naona wanaoffer DD(dealing desk),nimeona maana yake lkn nashindwa kuelewa kuwa ni wazuri au wako kwa ajili ya kushindana na trader?
 
Ontario, nimejiunga JF kwa sababu ya uzi huu tu. Siku zote nimekuwa nasoma nyuzi za humu kama guest tu, Ila kwa madini haya uliyomwaga, imebidi nijiunge.

Nimeanza kusoma kitabu Cha forex for Dummies Kama ulivyorecommend. Nimefungua Demo.....huu moto hauzimiki Hadi kieleweke.

Nipo maternity leave kwa Sasa, naona huu uI umekuja wakati muafaka. There is nothing I want like being Financially independent....for myself, for my family....for my kids. Hadi kieleweke.

Mungu akutunze tufikie malengo.... blessings!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom