cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,562
- 5,468
boss mimi ni banker na what your saying i agree 100% its time to create worf of Darstock exchange on this streets forex na trading in general is still a new phenomena in Tanzania i took an online training on Forex and bond trading and although i didnt concentrate much i think i need to evaluate my options..kudos ps kwenye ufalme wako nikumbukwe..am ready to put my feet on the water.Kwakua hunifahamu nakushauri pitia threads zangu 2 au 3 za nyuma. WB symposium kwangu si kitu kikubwa sana kama mwaka huu nimehudhuria WEF Afrika kusini, nimezungumza kwenye vikao vikubwa sana duniani.
Hii thread sihitaji kukuprove, mimi ni nani nk, take it or leave it watu tunatofautiana sana sana - ninachokifanya nchini kwangu kina manufaa kwa wabongo wenzangu kuliko nitakachokifanya WB kwaajili ya maendeleo ya waThailand. It's just a matter of priorities, lkn niweke tu wazi kwa hapa nilipofika conference ya WB is less or equal to nothing. Kwasasa huwezi unanielewa boss. Tujipe muda.