Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Inahamasisha sana hii thread, ukizingatia hali halisi ya vipato vyetu inavyoporomoka na ugumu wa kupata kazi mahususi za kifanya.
Count me in, on a serious note!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Ni idea great sana kusema kweli, tuisome kwanza tuelewe maana ulianza vizuri sana aiseee ila mwishoni ndio umekanyaga tope kwelikweli.. Hahahaaaaa pole mtani.

Maana hapo uliposema umeahirisha safari ya mwaliko wa world bank eti kwasababu unasajili, ni kama wale watu wa network marketing kila mtu anasema alikuwa Meneja wa Bank, mara sijui TRA, ila wakaacha kazi... Teh teh inahitaji ujasiri mkubwa sana.

No Debt shall remain unpaid

Kwakua hunifahamu nakushauri pitia threads zangu 2 au 3 za nyuma. WB symposium kwangu si kitu kikubwa sana kama mwaka huu nimehudhuria WEF Afrika kusini, nimezungumza kwenye vikao vikubwa sana duniani.

Hii thread sihitaji kukuprove, mimi ni nani nk, take it or leave it watu tunatofautiana sana sana - ninachokifanya nchini kwangu kina manufaa kwa wabongo wenzangu kuliko nitakachokifanya WB kwaajili ya maendeleo ya waThailand. It's just a matter of priorities, lkn niweke tu wazi kwa hapa nilipofika conference ya WB is less or equal to nothing. Kwasasa huwezi unanielewa boss. Tujipe muda.
 
Enyi Wenzangu, ambao mnaonyeshwa TAMU SIDE ya hii kitu, nanyi mnaamini kila kilichopo mitandaoni.....

Niwaase kwa nia njema, hukatazwi ..... ila tumia akili zako zaidi kuliko za kushikiwa..... kumbuka hakuna mtu unayemjua , pindi inakula kwako utakuja humuhumu kulia......

TUSUBIRI KILIO KIKUU
Mkuu Mahesabu, naheshimu sana mawazo yako...

Hii biashara anayoizungumzia mtoa mada ni halisi kabisa...

Bahati nzuri katika course ambazo nimefanikiwa kuzisoma chuoni mojawapo (INTERNATIONAL FINANCE (FN 300)) imezungumzia masuala ya FOREX kwa mapana sana... Na inalipa sana kama mtoa mada alivyo tanabaisha...

Ukwel mwingine usiopingika, hii kitu sio rahisi(maana kuna mahesabu ndani yake) unless you devote yourself kusoma in detail ili uweze kucheza nayo... kwa wale wavivu wenzangu wa kusoma na kuhesabu, this wont suit you....

Nakaribisha kukosolewa lakini sio mipasho maana humu hakuna dogo....
 
Naomba uniweke kwenye list ili nikishapata Naomba uniweke kwenye list ili nikishapata ELIMU hiyo niisambaze mkoa mzima was singida na jilan hiyo niisambaze
 
Kuna kitu wanasema huwezi kufanikiwa bila kujaribu kutaka kufanikiwa Na kua Na Imani ya kupata mafanikio big up Sana kwanza Kwa kutumia mda wako kuandika Hii Safari ya mafanikio yako pili kua Na hamu tam wenzako pia wapate kufanikiwa kiuchumi ni wachache Sana wenye moyo huo Ila Sasa hiyo offer ulio toa sijui tutajiconnect Vipi maana am moved kua miongoni wa watakao bahatika kupewa fursa kujifunza tunaomba mwongozo wako Kiongozi.
 
Hongera kwa kuwa na moyo na kiu ya kuona wengine pia wanafanikiwa..!! Ni imani yang kwa moyo huo wa kutoa vivyo hivyo MUNGU atakubatiki na utapokea zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom