For New Yorkers Tarehe 3

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
This one is for New Yorkers, on the 3rd of this month it is another time to vote.

We need a new Mayor. Either Bloomberg who is running for the third time or Thompson.

Go and vote people.
 
Watu wa Mount Vernon hawaishi New York City na hawatakiwi kupiga kura katika chaguzi za New York City.

Wakijaribu kupiga kura wanaweza kushitakiwa kwa voter fraud.
 
Huku Bongo wadanganyika walikuwa na mgomo baridi dhidi ya serikali ya chama cha mafisadi ;wengi hawakujiandikisha kuchagua viongozi wa serikali za mitaa na hata hao waliojiandikisha siku ya siku hawakwenda kupiga kura!! CCM wanaringa kuwa wamepata ushindi wa kishindo!! They can rule but they are not legitemate!!
 
Back
Top Bottom