For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

Safi .. Sasa inakuwaje Asitokee Tu Mfano Kipindi cha Kuwatoa Waisrael Misri Aliweka Mlima Wa sinai moto na wingu zito.. haikujalisha kuna Waliokuwa Wanamuamini au Laaah
Kwa mbali inaonekana sasa dunia ni God forsaken place lakini rafiki tunaishi katika kipindi ambacho prophecy na maandishi mengine yanakitaja kama cha kuelekea kuhitimishwa kwa historia ya dunia hii Judgement time sasahivi tunashuhudia na kuthibitishwa kwa majanga makubwa ya kibinadamu na yale ya asili kuelekea kwenye ''grand finale" ya kuja kwa Yesu masihi
Atakuja ni hakika!
 
Mimi nawafadhili maelfu, nikiwasamehe uovu, makosa na dhambi; lakini kwa vyovyote vile sitaacha kumwadhibu mwenye hatia; nawapatiliza watoto na wajukuu uovu wa baba na babu zao, hata kizazi cha tatu na nne.”
Kutoka 34:7 BHND

Ukisoma Hapo Juu .. Je Sisi Ni Kizazi cha Nne Au cha Tatu..
 
Sina elimu ya geneology and alike but possibly sisi ndio forth generation ambayo iko kwenye threshold ya endtime sasa ndio generation inayofunga historia mercy be on us kwasababu kama ndivyo
then God help us all!
 
Mambo yanatokea sana sema ktk dunia ya Leo media ndo inaamua which to go where tazama channel ya bishop Zachary kakobe international ministries au web ktk you tube ndo utaamini but shetani na corporations and media looks for what pays not what God does
Kakobe huyu mpiga dili mwenye makanisa hadi mikoani anayetumia uchawi wa Nigeria?

Ana tofauti gani na gwajima, rwakatale,mzee wa upako na babu wa loliondo,...
 
Mbona yanatokea? Mfano, Uchaguzi wa marudio Zanzibar chini ya alwatani Jecha, ni maajabu ya kutosha!
 
Acheni kudanganya watu juu ya Kakobe!

Huyu alimnadi Mrema eti ndo mkombozi wa Watanzania?

Huu ndo unabii??

Acheni kupotosha watu!
Kuhusu kunadi mtu kuna kipindi lazima iwe hivyo kuna baadhi ya watu wanaweza kunyima hata uhuru Wa kuabudu hivyo lazima viongozi waingilie kati siasa rejea duniani kote. Kuhusu mlema. Yy alikuwa ni chaguo lake na si la kns km ilivyo siku zote yy ni mpinzani Mara nyingi kuhusu kumnadi mrema sawa lakini sina hakika suala la Mrema kuwa ni mkombozi Wa Wa Tz as he knows only Jesus ndo mkombozi
 
Kakobe huyu mpiga dili mwenye makanisa hadi mikoani anayetumia uchawi wa Nigeria?

Ana tofauti gani na gwajima, rwakatale,mzee wa upako na babu wa loliondo,...
Ndugu yangu huyo ni mtumishi Wa Mungu aliye hai sjui nikueleze kitu gani au ni kipimo gani ww unatumia kumpima mtu kuwa mtumishi Wa Mungu ningekitumia but mark my words hatuwashindanishi watumishi Wa Mungu na aliye mkubwa awe kama mdogo kwenu lakn huyo jamaa ni mtumishi Wa Mungu kwekweli
 
Kwanza umemkosea heshima sana kumuita mpiga dili, pili hatumii uchawi fatilia mahubir na maombezi aliyo Fanya kwa jina la Yesu utagundua, tatu tofauti ni kubwa na hao uliowataja rejea mission ya Paulo ilivyo kuwa tofauti ya ya kina Petro ba kuhusu Loliondo Tz Kakobe ndiye Mtumishi Wa Mungu pekee aliye Mpinga huyo babu baadae akaja Katunzi na baadhi ya Mashehe pia kumbuka ndiye Wa kwanza kupinga deci kwa kuuita inatoka kuzimu days i latel waziri mkuu anaifunga.
Ktk kufatilia swali la msingi la hii mada nilisema namba tatu inathibitika na hakika yangu nakupa kuhusu kuisukia sauti ya Mungu kwa huyu mtumishi wake sina wasiwasi
 
Hivi tunafaahamu kuwa kuwa kuna watu waliombewa kwa jina la Yesu wakapona Ukimwi Tanzania please usipinge Fanya utafiti huu nenda you tube search kapaliswa kupona ukimwi itakuleta hii inaweza ikaumove huu mjadala next level.
 
Kwanza umemkosea heshima sana kumuita mpiga dili, pili hatumii uchawi fatilia mahubir na maombezi aliyo Fanya kwa jina la Yesu utagundua, tatu tofauti ni kubwa na hao uliowataja rejea mission ya Paulo ilivyo kuwa tofauti ya ya kina Petro ba kuhusu Loliondo Tz Kakobe ndiye Mtumishi Wa Mungu pekee aliye Mpinga huyo babu baadae akaja Katunzi na baadhi ya Mashehe pia kumbuka ndiye Wa kwanza kupinga deci kwa kuuita inatoka kuzimu days i latel waziri mkuu anaifunga.
Ktk kufatilia swali la msingi la hii mada nilisema namba tatu inathibitika na hakika yangu nakupa kuhusu kuisukia sauti ya Mungu kwa huyu mtumishi wake sina wasiwasi

Je Yesu alijishughulisha siasa za Enzi zile?
 
Sina elimu ya geneology and alike but possibly sisi ndio forth generation ambayo iko kwenye threshold ya endtime sasa ndio generation inayofunga historia mercy be on us kwasababu kama ndivyo
then God help us all!
Kizazi ki1 =miaka 1000
 
Kuhusu jamaa Wa ukimwi search: bishop kakobe testimonies of HIV AIDS HEALING miracles itakuja fast in YouTube kuna uthibitisho Wa hospital na unaweza kufatilia ktk hizo hospital koz sio uchwara asante
 
Yesu aliposema hamtaona tena ishara zaidi ya yona kukaa tumboni mwa samaki cku 3..."" Yesu alikufa na cku tatu akafufuka, maanake hakuna ishara itakayoizidi hiyo ambayo Mungu ataitoa. Mambo yote yameandikwa anaetaka wokovu atasoma. Asietaka atasubiri ishara...
 
Asante nimejichanganya tu ni cha pili kama tunasema 2000 yeara
Yap.
Kwa haraka haraka bado dunia ina safari ndefu sana maana kizazi cha 3 na 4 vimetajwa na lazma vitafikia ndo mwana wa Adam atakapokuja..
 
"Mkijua kwanza neno hili ya kuwa katika SIKU ZA MWISHO watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki,wafuatao tamaa zao wenyewe na kusema IKO WAPI AHADI ILE YA KUJA KWAKE? Kwa maana tangu hapo babu zetu walipolala, vitu vyote vinakaa hali hiyohiyo tangu mwanzo wa kuumbwa. Maana hufumba macho yao wasione neno hili ya kuwa zilikuwako mbingu tangu zamani na nchi pia imefanyizwa toka ktk maji na ndani ya maji kwa neno la Mungu,kwa hayo dunia ile ya wakati ule ILIGHARIKISHWA kwa maji,ikaangamia. LAKINI MBINGU ZA SASA NA NCHI IMEWEKWA AKIBA KWA MOTO KWA NENO LILO HILO ZIKILINDWA HATA SIKU YA HUKUMU NA YA KUANGAMIA KWAO WANADAMU WASIOMCHA MUNGU" 2 Petro 3:3-7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom