tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Kipande Cha Daraja la Nyerere ukitokea Kigamboni Mpaka Ubungo usiku ni shida na tatizo kubwa kwenye msongamano wa magari. Na hakuna jitihada yoyote ya kidharura kuondoa tatizo.
Kipande Cha Mlimani City Usiku kuelekea Mwenge Mataa napo shughuli pevu. Hakuna Cha maana zaidi ya Traffic kushindwa kuongoza magari. Bora waziache taa za barabarani zifanye kazi.
Kipande Cha Mlimani City Usiku kuelekea Mwenge Mataa napo shughuli pevu. Hakuna Cha maana zaidi ya Traffic kushindwa kuongoza magari. Bora waziache taa za barabarani zifanye kazi.