Fly na 540, Dar - Mwz - Dar kwa 199,000

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Nilishasema ipo siku tutaenda moshi na kurudi kwa alfuu sitini na hiyo inaelekea kuja wapenzi wamoshi pigen sala msiache ,..wakati precission walikwua wakiwakamua watanzania dar znz dar 120000 leo hii wameshusha bei ya aibu jiulize sababu sipati ati ndege ndege zimeshusha sana bei na zimekuwa nyingi...

Ndege ya 540 imeanza dar mwanza jamani na kwa wale wafanya biashara ni neema yenu ni sh 199,000 rt yaani kwenda na kuurudi,,kwenda pekee 99,000
huii jamani kwanini mlikuwa mnatutafuna hivi
 
big up fly 540 ndo tunayoyataka na kama ATCL ingekuwapo nathani bei ingeshuka zaidi...
 
Community Airline nao walikuja kwa mbwembwe kibao za kushusha nao, wakashindwa kuhimili vishindo vya gharama za uendeshaji, wakasepa! tusijetukaona na hawa Fly 540 hayo hayo yanawatokea.....!
 
Bei bado kubwa, tunataka Dar to Mwanza iwe sh 50,000= ni vitu vinavyowezekana nimeona kwenye nchi nyingi na nimeshakokotoa hesabu kwa kilomita za dar to mwanza, kumbuka enzi zile tulivyokuwa tunaibiwa vocha tunauziwa kwa dola, na ukimbeep mtu akipokea sekunde moja ni shilling miatatu inalambwa on the spot. bado nchi yetu ni shamba la bibi.
 
Tuombe waweze kuhili ushindani na fitna za Precision kwani zilikuja Community Airlines na air Zara lakini walishidwa kuhimili ushindani na fitna
 
Good move, mikoa yote ikiwa connected na bei zikawa competitive hata uchumi utaanza kupaa kwa sababu nguvu kazi itakuwa haipotei bila msingi wowote......imagine Dar - Mbeya 12 drive hours!!
 
Sasa kama kwenda na kurudi ni sh 199,000 hakuna discount yoyote coz kwnda tu ni sh 99,000/= ukikata tiket ya kwenda na kurud buku wanaongeza.I think wangeweka hata 190,000/= kwenda na kurud
 
dar - mwz 199,000
dar - kia 290,000 mbona hii bei juu sana na wakati mwanza mbali

saa wanatangaza kwenye mabango dar - jburg return from 179 usd watu wanaenda kwa 200 usd.

london - madrid 60 pounds or 150,000
 
ukubwa wa ndege zao ni upi?
Precision wanayo boeing 1 zilizobzkia ni ATR .
Community wao walianza na boeing...hawa wanazo aina gani?
 
community airline nao walikuja kwa mbwembwe kibao za kushusha nao, wakashindwa kuhimili vishindo vya gharama za uendeshaji, wakasepa! Tusijetukaona na hawa fly 540 hayo hayo yanawatokea.....!


hawa wamejipanga mpwa utakuwa shahdi wangu...nikusaidie nina kautaalam cha airline kidgo..siku ilipoingia niliwambia watu de same..ila ukiona mtu anakaa na kusavaivu miezi 3 na ndege zinaruka huyo arudi nyuma...else achemshe na management..community tuliwaambia live awatafika hiyo miezi na kweli awakufika
 
Joshua_ok umenena haswaaa mambo mazuri yanakuja TZ la muhimu ni kuwekeza katika biashara, ELIMU (binafsi na WATOTO wetU0 tuachane na uvivu wa kibongo wa kupenda short-cut through uuzaji wa sembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom