Flu Isiyoisha, msaada!

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
6,146
7,002
Wakuu nisaidieni nina tatizo la flue isiyoisha, kila baada ya siku 3 nakua na flue yaani inanikera sana..kama mtu unaeza nisaidia nipate tiba wapi au nitumie dawa gani ntashukuru sana,..
 
Dawa ya kutibu Maradhi ya Mafua yasiyo kwisha.

Kwanza kabisa pole na matatizo yaliyokupata! Mafua ni katika maradhi mabaya kwakweli kwani sehemu

yenyewe ya pua ina mishikano na sehemu zote za uso, kwahivo husababisha maradhi zaidi ya mafua mfano

husababishwa kuumwa na kichwa mara kwa mara, masikio hata na meno pia. Mafua hutokana na sababu

nyingi tofauti nazo ni kama vumbi joto, na vitu vibaridi ambavyo hivi ndio huwa chanzo kwa mafua. Inshallah

nitajaribu kuandika dawa moja lakini inafanya kazi kwa mara moja na ni dawa nzuri kabisa


KITUNGUU SAUMU:

Kitunguu Saumu ni kinga ya maradhi mengi mno, na pia ni dawa ambayo ndani yake kuna vitu vinavyojulikana kwa "ALLICINE" NA "GARLICINE" ambavyo vina nguvu kubwa ya kupigana na wadudu.

Meza tembe (chembe) moja ya KitunguuSaumu kila baada ya chakula na pia unywe juice ya kitunguu Saumu iliyochanganywa na maji ya ndimu na pia unaweza kujifukiza mvuke wa Kitunguu Saumu.

Inshallah natumai dawa hii itakusaidia ila nakuomba kitu kimoja uwache kula vitu vibaridi sana na vitu vikali

sana. Hata hivo nitachangia kidogo juu ya madhara ya Thaum, kitu chochote ambacho utatumia zaidi au

utatumia bila mpango maalum basi lazima huleta madhara kwahivo kila kitu kitumiwe kwa kiwango fulani ili kujiepusha na madhara ya hicho kitu chenyewe.@
Somoche tumia kisha uje unipe Feedback tafadhali.
 
mkuu mzizi mkavu kakushauri vizuri mno yaani kama ushauri wake ukiungatia uapona but think oltenative kuna hii suplimentary ambayo ina mchanganyiko wa hivyo vitu
Garlic Thyme
Bidhaa hii ina ‘Quercitin’ ambayo ni muhimu kwa matibabu ya

aleji ya mafua

Quercitin hupatikana pia katika vitunguu.

Vilevile ni kiondosha sumu na pia ina vitamin B na C.
ukila hiki ni sawa na mtu aliyekula vitunguu swaumu 5 kwa wakati mmoja pia itakusaidia kuondoa tatizo lako kwa haraka mno n pm kwa nitakushauri au nipigie 0683672508
 

Attachments

  • n_GARLIC.png
    n_GARLIC.png
    15.9 KB · Views: 47
Back
Top Bottom