Flat tv/screeen monitor

mkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.
hee embu tueleze hapo kwenye wekundu wa msimbazi ,ina maana wote wenye LCD imekula kwao mbona LED ni aghari sana,itabidi basi nibaki na mzinga wangu wa nyuki
 
Singsung haina uhusiano na Samsung hata kidogo, yaani hii ni kama NOKIA na TECNO. swala la LED na LCD na lifespan , bado si kigezo cha kutabiri uimara wa TV , LCD zinatumia fluorescent plate ambayo ndio inayoleta BRIGHTNESS(Mwanga) kwenye TV yako. Ila kwa LED hakuna Fluorescent panel bali kuna Light Emitting Diodes (LEDs) katika kila kona ya Screen yako na hizo diodes ndizo zinazoleta Brightness katika Screen. Diodes huwa zinaungua na Fluorescent panel pia hufa.

Cha muhimu hapa ni Technology, kwani LED zinakuwa na SHARP image kuliko LCD na pengine LED ni rahisi ku tengeneza endapo diodes zitaungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom