Fiston mayele anaogopwa saana na mashabiki wa al hilal

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Fiston mayele huyu bwana ni mchezaji mkubwa saana nje ya Tanzania.

Kuna watu wanamuogopa saana
Na wengine kumsifia saana
Leo nimekuwa zangu fb kucheki cheki comment fulani kuhusu al hilal kilicho ni shangaza.

Nimekuta akaunti kibao za watu wa Sudan wana mpost fiston mayele
Wakiongelea ukali wake. Kwenye comment ndo kulinipa raha saana
Kuna watu walikuwa wanaomba eti Mwenyezi Mungu awaepushe na kiama cha fiston mayele wana mfatilia saana
Kila akisema kitu wana post kwenye page zao

Wewe ingia fb andikeni
Hivi
فيستون مايلي
Mtakutana na post zao
Screenshot_20220927_020440_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20220927_020455_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20220927_020503_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20220927_020440_com.facebook.katana.jpg
 
Story zote kumhusu Fiston Mayele na Fei Toto; waulize Aishi Manula na Benno Kakolanya. Hao akina Al Hilal na Zalan, wamepotea tu njia.
 
Mayele kakaa muda mchache Yanga lakini kashaingia kwenye class moja na legends wa Yanga kama kina Lunyamila, Kizota, Mkapa, Tenga, Mkwasa na wengine wengiiii...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom