Fisadi Mkuu wa Richmond yuko CHADEMA au yuko CCM?

fakalava

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
4,459
6,025
Habari Wakuu?

Bado kuna utata uliojificha kuhusu nani aliruhusu kupitishwa/kusainiwa Mkataba mbovu wa Kampuni ya Kuzalisha umeme ya Richmond.
Kitendawili hiki tulitegemea kuwa kitateguliwa msimu huu wa kueleka Uchaguzi Mkuu 25-Oct-2015 hasa baada ya Lowassa kuihama CCM na kupewa ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chadema/UKAWA.

Mpaka sasa haijafahamika ni nani alikuwa Mmiliki halali wa hii Kampuni kwa kutajwa jina bali imebakia kuwa mafumbo, mmoja akisema Mamlaka ya juu ndiyo yaliyoruhusu na mwingine akisema ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Mikutano ya Kampeini huku wote wakikwepa kutaja majina.

Swali la kujiuliza, je,

1. Hawa watu wanajuana na wameamua kulindana?
2. Walishirikiana kwenye huu ufisadi?
 
Tumemsikiliza mmoja akiwa madarakani na mwingine akiwa raia wa kawaida sasa tusubiri na huyu mwingine naye akiingia ikulu je ataunda tume kuondoa utata huu, wito wangu ni kuwa tumpe kura kwa wingi ili aingie madarakani yaani Lowassa.
 
utata uko wapi wakati fisadi papa ni Lowasa kila mtu anajua bayana kuwa Lowasa ndiyo mwamba wa ufisadi.
 
Mkubwa wa MAFISADI na MADILI yote ya kifisadi yuko CCM.
Lowassa ni MSAFI ndo maana kaamua kuwaachia Chama Chao cha KIFISADI.
Lowassaaaaaaaaaa.........
Mabadilikooooooo

fisadi papa ni LOWASA mwizi wa kutupa.
 
kwa mawazo yetu sisi kina gogo la shamba kwamba mwenye hilo dili ni mkuu wa nchi ndio maana kila mtu anaogopa kumtaja lakini ingekuwa ni ni mtu wa kawaida angeshatajwa
 
lowasa kwa kitendo cha kuhama ccm amejiondolea kinga dhidi ya makosa ya jinai mshitakini basi unadhani atujui kwamba ccm ni kinga dhid ya makosa ya jinai
 
Sasa wakina Butiku na team yake wanahangaika na nini na Midahalo yao huku wakisema mafisadi wamekimbilia Chadema, kumbe kubwa la mafisadi bado liko CCM?

fakalava;
Kwetu kuna mbwa wanaitwa wa kuwindia. Atkimbizana na kwale mpaka kwale anachoka kisha huyo mbwa anamkamata. Cha ajabu ni kuwa, hamli anamchunga mpaka mwenye mbwa aje amchukue kwale. Mbwa anabaki kutoa ulimi nje akitweta. HAO NI MAMBWA TUUUUU yanatumwa kuwa distruct wananchi. Tutoke kwenye issue tukakimbizwe na nani fisadi. Yaani wanajiharibia mno. Kama serekali iliopo madarakani ilishindwa na hata sasa imeshindwa kuwakamata watu wachache hivyo. Hio nayo utaiita ni serekali?? Wasituzingue, mafisadi wako huko ccm nayo yanalindwa na serekali yake.
 
Jibu raisi sana,wala huitaji kufikiri,ata mtoto wa la pili anajua,hata mama ntilie na boda boda wanajua,NI LOWASA ambaye yupo Chadema
 
Unajua watu mna ongea tu bila vithibitisho. Achane a cheap man's talk bwn hebu jaribu kufuatilia mambo. Naomba niulize swali dogo tu kama ilikua ya Lowasa basi alivyo jiuzuru mbn deni ile liliendelewa kulipwa? Na kishawishi mkuu alikua Kikwete, achane kumezeshana habari ambazo hata watu wa shambani hawawezi kusema. Ukiweza kujibu hayo basi utakua umeweza kufikiri kama mchanganuzi wa mambo ya kisiasa na kiuchumi.
 
fisadi papa ni LOWASA mwizi wa kutupa.

Hahahahaha....Lumumba mwaka huu mna Kazi.....Mmetumia pesa nyingi ya maendeleo na nguvu kubwa kumchafua LOWASSA ila hatudanganyiki.
TUTAMCHAGUA LOWASSA.
Kama UFISADI wote ndani ya CCM ni wa LOWASSA Basi mfungulieni kesi mahakamani.
#UFISADI UMEOTA MIZIZI NA KUSTAWI NDANI YA CCM.
#KATAA UFISADI, KATAA CCM
 
Back
Top Bottom