Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,416
Zaidi ya US $30,000 za CCM zimetumika kuwapeleka Mh Kinana, Msanii Diamond na wenzake watatu na ghalama za ufunguzi wa Tawi la CCM Washington DC. Mimi nikiwa kama Mwanauchumi (not 1st Class) sioni uwekezaji huu kama una tija kwa CCM au Nchi yetu Tanzania. Ukizingatia Katiba ya Tanzania hairuhusu Dual Citizenship na absentee ballot (wanaoishi nje ya Tanzania), hivyo mamilioni haya ni mengi mno kwa biashara hii kichaa (Monkey business).
Mh Mchumi Mkuu wa CCM, ni Falsafa gani ya uchumi umeitumia katika kughalamia TAWI la CCM ambalo wengi wa wanachama wake hawawezi kushiriki uchaguzi wowote Mkuu wa Rais either USA or TZ?
Mh Mwigulu! Wanauchumi wanasema "spend money, to make more money" sasa tufahamishe hili Tawi lenu pale DC, litazalisha ajira ngapi kwa sheria za Marekani, na faida gani mnategemea kuzipata?
Mh Mbunge! Kama hizi pesa zingepelekwa jimbo la Ubungo na kujenga jengo la kawaida lenye cubic kama 10, mngenunua vifaa vya kipima Blood pressure, blood sugar na mizani ya kupimia watoto, ambazo ghalama zake ni chini ya $30,000 na kuliita CCM Medical Center. Hili jengo lingetoa huduma kwa wananchi, ajira kwa wakereketwa na kama watafanya kazi kwa ufanisi matunda yake yangeonekana 2015. Je Mr. 1st class haukifikiria kitega Uchumi hiki?