Filikunjombe: Tuna ombwe la uongozi...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Katika mjadala uliokuwa ukiendeshwa hivi punde na BBC Kiswahili chini ya Suluma Khasim,Mbunge Deo Filikunjombe amefunguka na kukubali kuwa nchi za Afrika Mashariki kuna ombwe la uongozi.

Filikunjombe alikuwa akijadili hoja ya Nini hatma ya Wapigakura. Mjadala huo ulimhusisha pia Mh. Halima Mdee na washiriki wengine toka Kenya na Uholanzi.

Haogopi?
 
Kila karne na kila nchi inao watu wa type yake ili kuweza kusema ukweli kama ulivyo na bila kuupindisha. Tunamwombea afya na ujasili usioweza kununuliwa kwa pesa za watawala wahusika..
 
Huyu Filikunjombe ahamie CDM, huko alipo siko kabisa, kunawafaa wachumia tumbo kina Nepi...
 
Katika mjadala uliokuwa ukiendeshwa hivi punde na BBC Kiswahili chini ya Suluma Khasim,Mbunge Deo Filikunjombe amefunguka na kukubali kuwa nchi za Afrika Mashariki kuna ombwe la uongozi. Filikunjombe alikuwa akijadili hoja ya Nini hatma ya Wapigakura. Mjadala huo ulimhusisha pia Mh. Halima Mdee na washiriki wengine toka Kenya na Uholanzi. Haogopi?

kumbe alitakiwa kuficha ukweli
 
hivi huyu jamaa ni ccm kweli?mbona anatetea wanyonge?huyu muongo sio ccm

huyu ni ccm ila mabaki ya baba wa taifa mwl nyerere.labda nimshauri tu kwamba huko aliko sasa baba wa taifa alishakulaani,sio lazima ahamie cdm ila tuhakikishe katiba ijayo inaruhusu wagombea binafsi ili wengine wanaotoka kwa magamba wajue wapi waende bila kulazimishwa,huko aliko hakuna hiyo sera kwa sasa na hakuna wa kumsapoti,natamani nipate muda nijadili na huyu mhe.
 
Katika mjadala uliokuwa ukiendeshwa hivi punde na BBC Kiswahili chini ya Suluma Khasim,Mbunge Deo Filikunjombe amefunguka na kukubali kuwa nchi za Afrika Mashariki kuna ombwe la uongozi. Filikunjombe alikuwa akijadili hoja ya Nini hatma ya Wapigakura. Mjadala huo ulimhusisha pia Mh. Halima Mdee na washiriki wengine toka Kenya na Uholanzi. Haogopi?

Huyo kijana ni kilaza tu anaposema Afrika Mashariki kuna ombwe la uongozi kwenye BBC anamaanisha waafrica hatuwezi kujitawala! which is what all white people think and are happy to hear! anaweza kututukana watanzania kwa sababu hana uzalendo but I hope waganda, wakenya, wanyarwanda watapata cha kumjibu. hapa kwetu ataonekana shujaa kama kawaida ya wabongo!! sijasikia alicho sema HM but I guarantee you a learned sister hawezi kuongea uharo kama huo! I am out.
 
Jamaa lakini mjanja sana nakumbuka hata aliweza kuwasambaratisha wagombea UBUNGE wa CDM hawakurudisha form hadi akapeta ki ulaini, he is very smart guy.
 
we ni kibaraka wa mafisadi km wewe mwenyewe sio fisadi!kwishnee,kungereza in not an issue,Filikunjombe ni mkweli na daima wanafiki huwa hawapend ukweli,km huna hoja tekeleza sera ya kilmo kwanza
 
Jamaa lakini mjanja sana nakumbuka hata aliweza kuwasambaratisha wagombea UBUNGE wa CDM hawakurudisha form hadi akapeta ki ulaini, he is very smart guy.

Akizidi kubaki ccm umaarufu wake utashuka haraka kwakuwa mfumo wa chama hicho ni"PESA MBELE KWANZA,UZALENDO BAADAYE"
 
Back
Top Bottom