fikra za kukomboa uchumi na ufujaji wa fedha za watanzania

PAUL KWEKA

New Member
Jun 30, 2012
4
0
hizo fedha wanazotaka kuajiri madaktari kutoka nje ya nchi kama economist na risk taker kwa nini wasiwalipe madaktari wa ndani hizo fedha, kwa sababu zifuatazo watakuja kutoka watakakotoka watalipwa usafiri, watapangishiwa nyumba gharama zote hizo zatosha kupunguza kero za hawa madaktari wetu wa ndani
 
Back
Top Bottom