Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

wameongeza tatizo jera zetu zimejaa watu wenye mbinu kali zaid yake, akitoka atakuwa kahitimu mafunzo ya kuua.

atasumbua kimwendokasi bora wampoteze ki namna, ama wamtoboe macho
 
Kisheria when attacked or provoked hutakiwi kuretaliate iyo ni kazi ya vyombo vya dola. Nadhan ndio maana watu wabugurun walisita kumchukulia hatua.

Pia kisheria ni polisi pekee yake mwenye uniform ndie anahusika kumtia nguvun mtuhumiwa.
Wewe from nowhere nenda buguruni halafu kwapua uone kama hujachomwa moto huyo ni mwenyeji wa hapo hvy wanamuogopa na siyo kama waneogopa sheria.
 
Mimi binafsi nilitegemea hivi mkuu. Ana bahati sana huyo nyang'au. Maana kikosi kazi kilikuwa kazini. Eti mtaalamu wa ngumi anapendelea watu wakija wengi!!!! WTF!!??
Haina haja ya kupoteza hela ya walipa kodi....huyu jamaa ilibidi atumbukizwe kwenye cyanide kule mgodini.

Hapo bugurini inatakiwa pasafishwe. Maana inaonekana bado kuna hao wapolimpo wenzake.
Mm nataka angetobolewa tu macho halafu akaachwa. Kumuua ni letting him off easy!
 
Dawa ya huyo jamaa ni kumpiga shaba halafu polisi wanatoa taarifa kuwa kapigwa risasi akijaribu kutoroka maana mijitu kama hii huwa ni misumbufu
 
Kwa uzembe wa kuchelewa kumfikisha mahakani ataachiwa kama alivyoachiwa Kasusura. Hivi kwa nini waendesha mashitaka hawajifunzi kutokana na makosa!? Mtu akikamatwa anatakiwa afikishwe mahakamani ndani ya saa 24 au 48 (ni kati ya hizo nimesahau kidogo). Mtu amekamatwa tarehe 12/9/2016, halafu unampeleka mahakamani tarehe 23/9/2016! Je hiyo ndio ndani ya masaa 24 au 48?
 
wameshaambiwa mtu kama hiyo mnamnyan'ganya silaha Mara moja.
mbona wale majambazi wa juzi walipelekwa msituni na kunyang'anywa silaha chapu?
 
Kosa La Unyang'anyi Wakati Alipania Kuua?
Hawa Waendesha Mashtaka Waache Ujinga. Hilo Ni Jaribio La Kuua Apigwe Maisha Kabisa.
Hivi mbona rummors has it kuwa aliwahi kuua akaweka mtu barabarani agongwe na gari kuondoa ushahidi?
 
Mtu kama huyo kufungwa tu hakutosh ingefaa anatekwa anaenda anateswa anachomolewa macho lakin hauawi naye apate uchungu ka aliowafanyia wengine
 
MH.MKUU WA MKOA TAFAKARI NA ONA,MWANADAMU AWEZAYE KUMTOBOA MWANADAMU MWINGINE MACHO NA KUMCHOMA VISU / ANASTAHILI ADHABU GANI!..
PIA NI HATARI KWA KIASI GANI?
::::AFUNGWE MAISHA.||
 
Sipati picha hao wanaume wa buguruni walivyo yaan mtu anatolewa macho wao wanaangalia tu yaan hakukua Na mpini wa jembe, nondo, mawe, koleo nk hapo karibu na tukio.
MKUU YAAN HII DAR INASIKITISHA SANA AISEE,SIJUI NAN KAWAROGA HAO WANAUME,USHAURI WANGU POLISI WAMUACHIE AJE MARA AFANYE UJINGA WAKE HUO,AISEE WATU WAZIM HAWATASUMBUKA NAE,ATAUAWA NA WATOTO TU UNDER 18!!.
 
Mie nikajua jamaa kishanyang'anywa silaha zake haraka haraka na kupandishwa cheo asee
 
Back
Top Bottom