Nimeipenda hiyo.Watoto walikuwa wanajifunzia kuhesabu jana moja...mbili ...hadi thelathini na mbili.....
Hello all football fan
Barcelona is the best team in the world, Do you agree. ManUtd was not on the pitch.
English football failed to take part to Spanish giant. Messi,iniesta,Xavi, Eto'o are master class.
Enjoy for BARCELONA TO WIN
tehe tehe ushashtukia wanaoipenda chelsea wameanza baada kununuliwa na abramovic.......wengi walikuwa hawajui hata barca ni nini ila ile mipresha ya jana wakajikuta nao kwenye mkumbo na draft walioitandaza barca washakuwa wapenzi wa barca.........Duh, hivi nyie watu wote mnaochangia leo mnakuwaga wapi wakati wa regular season, au ndio mnakuwa mnasubiria Manchester United ifungwe ndio muanze kuongea?
tehe tehe ushashtukia wanaoipenda chelsea wameanza baada kununuliwa na abramovic.......wengi walikuwa hawajui hata barca ni nini ila ile mipresha ya jana wakajikuta nao kwenye mkumbo na draft walioitandaza barca washakuwa wapenzi wa barca.........
....wewe umeanza kushabikia man u lini kama si 1999....