Barca offer United red card deal
Naona Barca wana mpango wa kuiooffer United red card deal hili mmoja wa walinzi wao pia afunguliwe na UEFA. Sunday Times limeandika.
Upande wa pili naona mpaka sasa Kampeni za Manu na Barca kutwaa ubingwa wa La Liga na EPL respectively ziko kwenye track. Jana Valencia wamewatoa nishai Real Madrid kwa magoli 3 kwa nungwe.