HahaaahaaaWao maneno sie vitendo
usajil wa Adre Gomes unakuwa ni usajil wa nne baada ya Samuel Umtiti,
Lucas Digne na Denis Suarez
Hapa kazi tu. Tetes peleka EPL
Congratulation on your imaginary cupNaiona Barcelona ikienda kutwaa Uefa La liga na kombe la mfalme
Viva Barcelona
Hapana mkuu. Huu msimu naona real madrid watacheza kufa na kupona wapate la liga, wana kiu nalo sana. Upinzani utakuwa mkubwa sana....Naiona Barcelona ikienda kutwaa Uefa La liga na kombe la mfalme
Viva Barcelona
Ni kweli mkuu upinzani ni mkubwa ila Barcelona tuna imani itafanya vemaHapana mkuu. Huu msimu naona real madrid watacheza kufa na kupona wapate la liga, wana kiu nalo sana. Upinzani utakuwa mkubwa sana....
Mrudishieni martial 9 yakeCongratulation on your imaginary cup
11 ina mtoshaMrudishieni martial 9 yake
Wao maneno sie vitendo
usajil wa Adre Gomes unakuwa ni usajil wa nne baada ya Samuel Umtiti,
Lucas Digne na Denis Suarez
Dah nimefurahi mno huu usajili ulioenda shule, zaidi huyo Suarez ni bonge la Mid, hapa kazi tu
Mkuu umeanza lini uongo!!?Ronaldo De Lima:Aliulizwa Messi na Ronaldo nani bora?akajibu mimi namchagua Messi sababu amekamilika zaidi anafanya vitu kwa hali ya kushangaza sana na ukamilifu mkubwa.
De lima:Ronaldo na Messi wote ni wachezaji bora lakini Messi ni mbunifu sana kuliko Christiano Ronaldo.Namna anavyogusa mpira,anavyogeuka,movement zake,na anavyobadilisha direction ni vigumu sana kufanya vitu hivyo wakati mpira upo mguuni kwako
Ronaldo De lima ni mchezaji wa zamani wa Real Madrid na legend wa Madrid na ni Madridista wa kutupwa .Uthibitisho upo kwenye picha hapa chini
View attachment 373088
ningeshangaa usingechangiaMkuu umeanza lini uongo!!?
Hongera kwa kusajili ma left backningeshangaa usingechangia
nafas ya right TUNAKUSAJILI WEWEHongera kwa kusajili ma left back
Wakat una hitaj right back
Hahahanafas ya right TUNAKUSAJILI WEWE