FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

TISS na FBI siyo wa kuwajua mahala peupee, kwani Kachero lazima ajulikane huyu hapa anapita katika kazi yake?? la hasha wanafanya kazi kisiri siri navyoelewa mimi!
 
JK anataka kuhakikisha kuwa zanzibar inaendelea kuwa koloni la tanganyika, wazenji wamejitela na sababu imepatikana ya kuwaletea wababe kuikalia ardhi yao kwa niaba ya tanganyika kwa kisingizio cha ugaidi, yakheee... imekula kwenu hiyo!

Jema lipi sasa? Serikali ikichukua hatua inalaumia, je ikinyamaza ni sahihi? Ugaidi hauna mipaka. Vyombo vinavotajwa hapa vina nyenzo na weledi wa hali ya juu, itatupa fursa ya kujifunza mengi.
 
Naomba mwenye kujua aweke jamvini JOB DESCRIPTION ya wana usalama wa Taifa! Huenda tunawalaumu bure!

ziko mbili kwanza kudhoofisha upinzani wa kisiasa na kilojiki ya pili ni sweepers kwenye misafara ya viongozi wakuu wa serikali
 
Na baadae serikali itueleze imetumia fedha kiasi gani kuwaleta hao FBI na wamesaidia mambo gani ambayo sisi tusingeyaweza katika kuwakata hao wahusika. Wasije wakawa wameletwa halafu wanatembezwa mbuga za wanyama.

Walipokuja Scotland Yard kwa ajili ya BOT kuungua, Serikali iliwahi kusema ilitumia sh. ngapi? Na je, ile ripoti waliyotoa ilifaanyiwa kazi?
Co kwenda mbugani tu bali watapeleleza na yaliyo na manufaa kwa taifa lao!
 
FBI anakuja kufanya nini hapa? mbona zilipozama MV Skarget na MV Spice kule Zanzibar ikauwa maelfu ya watu hawakuja kuchunguza mauwaji na hata bunge la Tanzania lilinyimwa fursa ya kujadili yale mauwaji au serikali ndio inaonyesha dhahiri nnadhir kuliunga mkono Kanisa??

Unataka kutuambia zile meli zilizamishwa na Kanisa?
Usituletee udini usio na mashiko, ebo!
 
Naomba mwenye kujua aweke jamvini JOB DESCRIPTION ya wana usalama wa Taifa! Huenda tunawalaumu bure!

Ni kujitahidi kadri wawezavyo kuhakikisha Dola iliyopo madarakani(CCM) aiondolewi kwa namna yeyote ile iwe ya sanduku la kura au kijeshi.
 
Congratulations His Excelency, the President of the United Republic of Tanzania!! Working harder!!! Using his machinery like the Intelligency!!! Ha ha ha ha!! So sad!!
 
Lazima watakamatwa na kuhojiwa vizuri sana. Na hawa ndio watakaowataja wahusika halisi yaani watu waliowatuma kufanya unyama huo. Kwa technologia ya FBI na satelite image sidhani kama itachukua muda sana.
 
wao wanachunguza akifa padri na akifa mbwa wa airport, ila soon tutasimamisha kHILAFA na tutaondoa duhlma yote hii inshaAllah, waache wafanye propaganda zao waache wasaidiwe na wanafki ila ahadi ya ALLAH itatimia, proud to be a muslim nd JIHAD muhimu

Ndugu 'ni_mtazamo_tu', huwezi kuushinda ukristo kwa JIHAD. You have already failed even before you start. Tanzania is under the protection of the most High God and Lord Jesus. God will use every means (government, christians, muslims, etc) to ensure peace overcomes chaos.
 
Hebu zirejesheni zile Mada za father aliyepigwa risasi Zanzibar na ujio wa FBI na CIA, naona mulikua mumezifungia kibwebwe na kuzidadavu kwa furaha mpaka meno ya mwisho yalikua yanaonekana lakini ghafta zilitoweka kama barafu juani! Kulikoni tena??

"Wapo baadhi ya viongozi wa KIDINI wanahusika katika kusafirisha madawa ya kulevya"
Jakaya Mrisho Kikwete
 
Hebu zirejesheni zile Mada za father aliyepigwa risasi Zanzibar na ujio wa FBI na CIA, naona mulikua mumezifungia kibwebwe na kuzidadavu kwa furaha mpaka meno ya mwisho yalikua yanaonekana lakini ghafta zilitoweka kama barafu juani! Kulikoni tena??

"Wapo baadhi ya viongozi wa KIDINI wanahusika katika kusafirisha madawa ya kulevya"
Jakaya Mrisho Kikwete

Hatukatai,wapo,wa Dini,mbaya zaidi,wa dini zote.
 
Back
Top Bottom