knock knock
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 326
- 384
Kama hazina impact nini kinakuwashaHivi huyu Bibi kauli zake zinaimpact yoyote? Nauliza tu kwajili ya ufahamu.
Ndiyo maana ikitokea kwenye mbuga zetu simba amekula mtu huwa hawamuachi mpaka wamuuwe
Nimeuliza tu kwaajili ya ufahamu wangu binafsi. Kama hauna majibu niondolee stress zako hapa shubaamiitKama hazina impact nini kinakuwasha
Anaweza kukuvua nguo hadharani unacheza na FATMA KARUME mjaribu na vijihoja vyako feki.Hivi huyu Bibi kauli zake zinaimpact yoyote? Nauliza tu kwajili ya ufahamu.
Kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni,iwe na impact au isiwe ni kivyakoHivi huyu Bibi kauli zake zinaimpact yoyote? Nauliza tu kwajili ya ufahamu.
Ukiuliza maswali ya kitoto lazima upate majibu ya kitoto, majibu ya kikubwa yatakuchanganyaNimeuliza tu kwaajili ya ufahamu wangu binafsi. Kama hauna majibu niondolee stress zako hapa shubaamiit
We mkubwa unajibu vp majibu ya kitoto?Ukiuliza maswali ya kitoto lazima upate majibu ya kitoto, majibu ya kikubwa yatakuchanganya
Haka ka mama nako bana!
Kutwa kucha kenyewe kulia lia tu.
Hapo hata sielewi kanacholilia ni nini hasa.
Haka ka mama nako bana!
Kutwa kucha kenyewe kulia lia tu.
Hapo hata sielewi kanacholilia ni nini hasa.
Mkuu, NYANI ngabu umenifanya nirudie kuisoma upya tweet ya shangazi Fatma ili nione kama kuna sehemu Amelia, nimefanya hivyo (kurudia kusoma) kwasababu wewe ni miongoni mwa watu mlijijengea heshima humu jukwaani huko nyuma so hua nakuchukulia kama miongoni mwa watu serious! Naomba unioneshe mahali alipo lia au hata KULIA LIA, please brother/sisterHaka ka mama nako bana!
Kutwa kucha kenyewe kulia lia tu.
Hapo hata sielewi kanacholilia ni nini hasa.
Zina impact ndio maana kila leo baadhi ya wana JF wana quote kauli zake. Ukitaka kuthibitisha toa kauli yako kwenye twitter, facebook au instagram uone kama kuna mtu ata quote na kuileta huku JF.Hivi huyu Bibi kauli zake zinaimpact yoyote? Nauliza tu kwajili ya ufahamu.
Mkuu, NYANI ngabu umenifanya nirudie kuisoma upya tweet ya shangazi Fatma ili nione kama kuna sehemu Amelia, nimefanya hivyo (kurudia kusoma) kwasababu wewe ni miongoni mwa watu mlijijengea heshima humu jukwaani huko nyuma so hua nakuchukulia kama miongoni mwa watu serious! Naomba unioneshe mahali alipo lia au hata KULIA LIA, please brother/sister
Huo ni ushahidi kuwa usiwachukulie watu wa JF serious. Iko siku utakuwa disappointed.Mkuu, NYANI ngabu umenifanya nirudie kuisoma upya tweet ya shangazi Fatma ili nione kama kuna sehemu Amelia, nimefanya hivyo (kurudia kusoma) kwasababu wewe ni miongoni mwa watu mlijijengea heshima humu jukwaani huko nyuma so hua nakuchukulia kama miongoni mwa watu serious! Naomba unioneshe mahali alipo lia au hata KULIA LIA, please brother/sister
Hivi huyu Bibi kauli zake zinaimpact yoyote? Nauliza tu kwajili ya ufahamu.