Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,911
- 6,562
Ameandika Shangazi Fatma Karume kwenye ukurasa wake wa Twitter:
"Kilangi kawapeleka Jebra Kambole na Edson Kilatu mbele ya Kamati ya Maadili ili na wao WAVULIWE UWAKILI na majina yao yafutwe kwenye ORODHA ya Mawakili. Kosa lao: Kutoa maoni yao Mtandaoni. Kilangi, AG kuwa Advocate no. 1 ni HONORARY. Haina maana unaweza kutuCONTROL na kututesa"
My Take: Ninachojiuliza, je haya mambo ya freedom of speech bado yako mfukoni? Kilangi si ndo AG wa Mwendazake? Bado yupo tu madarakani au anahitaji kusagiwa kunguni kwanza?