Fatuma Karume: CCM just shoot in the dark

Indeed, CCM ceased to be a purposeful political movement when it abandoned its peasants/workers-centred ideology (Ujamaa) through the endorsement in 1991 of the undocumented elitist Zanzibar Declaration. Ever since, CCM has transformed itself into a Mafia-like gang of thugs only bent on clinging to power at any cost and resisting any change that could bring in more freedom, democracy and accountability.
 
Hypocrisy at its best

On the contrary Mr.Makupa is mega right! I have a feeling this lady gotta something else on her mind we sema she's a master of disguise - remember her Dad's remarks miaka ya nyuma katika mkutano mkuu wa CCM - tulio wahi kusoma saikolojia ni rahisi kungamua kilichopo ndani ya moyo wake - kuisema sema CCM is part of her tacticts just to get even anaona hao ndiyo wanaupigia debe muugano - mi nawambine.

Ana kawaida ya kuisema sema vibaya CCM lakini Baba yake alipokuwa madarakani she never raised her voice, nikiwa muwazi ni kwamba hasira zote zinahusu muungano na hayuko peke yake majority ya Wazanzibari wana maoni hayo hayo ingawa awasemi wazi wazi - mtu gani mwenye akili timamu anaweza kukitakia mabaya chama kilicho mlea on a silver plate kwa kumpatia privelege chungu mzima ambazo vijana wengi Tanzania wanazisikia kwenye radio - alafu anakuwa na ubavu wa kuilahumu CCM!!

Je, Babu yake alipo kuwa madarakini track record yake inaonyesha nini? Je,Wazanzibari walimpigia kura mara ngapi, je, alisema nini alipo ulizwa kuhusu constitition za Zanzibar, were the Zanzibaris free ndani ya nchi yao, je aliendesha nchi kwa kuzingatia/heshimu sheria - Fatuma ni mwanasheria mzoefu tunaweza kumuita QC (Queen Councellor) kafanya mazoezi kwenye mahakama za mjini London sina shaka anajua ninacho maanisha hapa, ajifunze kuwa na constructive crictism na above all atumie a diplomatic language na siyo lugha zinazo tumiwa na wapigania uhuru wa vita vya msituni

Tukirudi kwenye mada huyo Iron lady anaweza kutufafanulia kwa nini Baba wa Taifa alikataa kumkabidhi Babu yake akina: Abdullahamani Babu, Salim A. Salim na wengine - tusianze kulahumu vitu bila ya kutafakali mambo - Waingereza wana msemo "Fikiri kwanza is the most important thing" and are damn RIGHT. Nayasena haya kwa nia njema siyo kwamba nina issues/bifu na Fatma - far from it - tunawekana sawa hapa.
 
Wasituchanganye hao. Wamekula mema ya nchi hii wamevimbiwa..leo hii wanatudanganya eti wako na walalahoi.....Please..spare me this nonsense. Kama wengine, anaweza kuwa hapendi Muungano..lakini ni huo huo Muungano umewasaidia-through CCM kufanya figisu figisu na kutawala kwa mabavu. Kila anachosema mwanasiasa..kisome mara mbili mbili. You never trust these people!
 
Well done sister Fe, Lipumba is now facilitating ccm agenda of making Ukawa at bay. He intends to take Cuf out of ukawa 's fold, hence weakening the opposition .In the other hand he want to create CUF -Tanganyika and CUF -Zanzibar,this will tempt the Registrer, Mutungi to wipe off CUF, because of disqualification
 
things are falling apart among Karume's Family members.
huyu binti siyo mnafiki.. anaongea ukweli, tena ukweli toka moyoni.. nakumbuka alisimamia kidete kumktaa Jecha, na mambo yake yote.
safi kabisa. keep it up.

Mnadanganywa kirahisi sana. Wakati baba yake akiwa Rais huko Zanzibar ccm ilikuwa inakufa?
 
The problem with CCM is that they don't analyse, they just shoot in the dark hoping to hit the target. So they keep missing the target. CCM attempt to break CUF through Hamad Rashid but failed miserably. The issue is not breaking CUF but rather giving people the leadership they want. CCM has failed to do this and therefore the people will look for an alternative. They should start by putting the CCM house in order. But they won't and so they will lose more and more voters and they will become more and more desperate and authoritarian. CCM Bara has entered the vicious cycle of self-destruction, like CCM Zanzibar and like KANU in the final Moi years. It is most unfortunate because a lot of Tanzanians will be hurt in the process.

Fatma Karume
congratulate madam,exellent
 
things are falling apart among Karume's Family members.
huyu binti siyo mnafiki.. anaongea ukweli, tena ukweli toka moyoni.. nakumbuka alisimamia kidete kumktaa Jecha, na mambo yake yote.
safi kabisa. keep it up.
Hana lolote, ameona utawala ushahama upande wa baba zake, sasa anapiga zumari upande wa wajomba zake.

Wakati akinyonya maziwa ya CCM hakuona wanahit off target?
 
This lady is very hopeless, I think she need the assistance, she doesn't know any thing with politics. Every party have its constitution and regulations which guide them with complying with the national constitution. The issue of CUF and other political parties is that they don't follow its constitution and regulations that is causing strikes and figisufigisu.
 
CCM is a seriously dying party... Irresistable death toll that faced very old parties in Africa..!
Jamaa wabaya hawa!!!! yaani wamemkabidhi msukuma mgonjwa ahangaike naye mpaka amfie mikononi. Wengine wamebaki kusema nchi inayumba ni kweli lazima iyumbe sababu inaongozwa na mgonjwa ambaye anajaribu kila tiba kuwapa matumaini wafuasi kumbe anayumbisha Taifa. Eeeh cheza na muda wewe, time ndo ishafika bye bye sisiem.
 
Back
Top Bottom