Fatma Karume: COSTECH wanatakiwa kusimamia scientific research na sio scientific polling

Siasa ni sayansi digrii yake inaitwa political science degree Kwa hiyo utafiti wowote wa siasa ni scientific research tume iko sahihi.asichanganye Na digrii zake za Sheria ambazo ni Arts.
Degree ya sheria ni sayansi ya jamii kama ilivyo hiyo Political science hata hivyo zote ni sehemu ya kozi za arts kwa hiyo usijidanganye ukadhani political science ni natural science kama ilivyo fizikia au kemia no.
 
Hivi unachokizungumzia ni kile ambacho na wenzio tunakizungumzia? Hata huko Marekani na Ulaya kwa waliotunga hizo kanuni hakuna utafiti wa kura za maoni unaoshirikisha watu wengi kiasi hicho.

Angalia usije kujivua Nguo mwenyewe!!
Pole sana kuna kitu tunaita media research ambazo huwa wanaenda mitaani wanauliza je unampenda JPM ukisema ndiyo wanakueleza kaa pembeni! Ukisema simpendi wanakuuliza maoni yako. Kesho kichwa cha Habari kinaanza “wengi hawampendi JPM, tulipomhoji Zakaria alisema yeye hampendi kwa vile..... na wanahitimisha kwa kusema hii inaonesha hapendwi! Upuuzi huo usiutetee hapa JF kubali kufundishwa acha upenzi jenga hoja. Nikupe reference materials?
 
Hahaha kaka " Scientific Research" na " Scientific Polling" ni vitu viwili tafauti…..

Kwa Kiswahili Scientific Research" = "Utaviti" = "the systematic investigation into and study of materials and sources in order to establish facts and reach new conclusions" = "Ni mfumo wa masomo ya utafiti wa kitu au chanzo cha kitu ili kuweza kudhibitisha ukweli wa kitu hicho katika tamati ya utafiti"

"Scientific Polling" = "Record the opinion or vote of focus groups in which customers are polled about merchandise preferences..." = "Kurikodi mawazo au Kura za kikundi cha watu(wadau),Mdau ana piga kura kutokana na kufananisha kile anachokipigia kura"....

Mkuu,kwa tafsiri hizo naona "Scientific Research" na "Scientific Polling" zina maana tafauti….Ndio maana tunambiwa watanzania ni watu wenye IQ ndogo sana katika dunia...
Mkuu kila kitu cha utafiti ni sayansi,kila kitu kilichokuwa hakishirikishwi na Mungu ni Science,..kuna "computer science",kuna political Science",Economical Science...nk

"Science" = "Masomo ya utafiti" = "the intellectual and practical activity encompassing the systematic study through observation and experiment". = " Umakini wa kubuni na vitendo unaofanywa kwa mfumo wa masomo kutokana na kuangalia na kujaribu kile unachokifanya"..

Inaitwa "Political Science",kwa sababu ni mfumo wa masomo yanayoangalia kwa kujaribu(experiment) au kwa kuangalia(Observation) jamii za watu...,..
Asante kwa maelezo yaliyokwenda shule kwa sababu wengine wakichangia utajua tu IQ zao. Watu wakikreamu darasani ni mbaya sana. Tunahitaji kuelewa vitu. Big up!!
 
Rais wa TLS, wakili Fatma Karume ameandika katika mtandao wa twitter kuwa COSTECH wana power ya ku-monitor scientific research na sio scientific polling.

My take:
Yayajo yanafurahisha.
Scientific polling ndio kitu gani, aliyesema hivyo ni raisi wa chama cha sheria,au alitaka kusema Opinion poll.
 
Rais wa TLS, wakili Fatma Karume ameandika katika mtandao wa twitter kuwa COSTECH wana power ya ku-monitor scientific research na sio scientific polling.

My take:
Yayajo yanafurahisha.
Mwenzio kapigwa PO kwenye kesi amechanganyikiwa!!
 
Siasa ni sayansi digrii yake inaitwa political science degree Kwa hiyo utafiti wowote wa siasa ni scientific research tume iko sahihi.asichanganye Na digrii zake za Sheria ambazo ni Arts.
Completely out of knowledge and out of content.

Nadhani hukuelewa alichomaanisha Fatma na wala huelewi tofauti ya social, political na natural science. Costec is for natural science and technology.

Ukisema science unamaanisha natural science vinginenvyo ni lazima useme social science au political science.

Political science and social science ni Arts na siyo Science.
 
Kushinda uchaguzi ni science sio art Sababu siasa ni sayansi iwe uchaguzi au chochote.Ushindi ni ushindi mura
Usilete maneno ya mtaani kwenye masuala ya kitaalam. Mtaani hata wizi ni science.
 
Then why is it called political science degree? Nisamehe Kwa kukuuliza Kwa lugha ya mkoloni mwingereza ni kwa kuwa sijui kama wewe ni mndengereko au la ningekuuliza kindengereko Huwa najisikia aibu kuongea lugha ya mkoloni aliyetutawala samahani kukukuuliza kiingereza
Any knowledge in loose language is called science.

Science is that knowledge obtained through observations and experimentations about natural occuring phenomena around man. In that understanding politics is not science.
 
hahahaha it can be both,Magufuli ni bidhaa ya Watanzaian anaweza kupigiwa kura za kupendwa na kutokupendwa ...

"Merchandise" = Ni kitu unazoweza kuuza na kununua,lakini katika tafsiri iliyowekwa hapo haikutumika kama "Bidhaa" imetumika kama "Kitu" chochote,,..

Mkuu usitafisi neno kwa neno tafsiri maana na ufahamu wa kile unachokisoma,utafeili darasani ukifanya hivyo..Ndio maana watanzania tunaambiwa IQ zetu ni ndogo kupita binadamu wote Duniani..
Nadhani usibishane na mjinga ambaye hawezi kuelewa context ya kitu...sometimes you wonder how can people be this empty headed...
 
Wadau, hapa tunyazungumzia maoni yake binafsi Bi Fatuma Karume. Sioni haja ya kuumiza sana kichwa kuhusu hili jambo kwa sababu hata mimi au wewe unaweza kutoa dukuduku na hisia zako juu ya hili mtandaoni (Twitter) kama alivyofanya Fatuma.

Yeye aishtaki COSTECH juu ya barua kwa Twaweza ndipo tuone kweli hoja gani za msingi au kisheria anazoweza kujenga.
 
Matangazo ya Twaweza husema kuwa "....Utafiti wa TWAWEZA unaonyensha kuwa ....". Neno utafiti maana yake kwa kiingereza ni research!
 
Jiheshimu kwanza ndipo tuweze kujadiliana. Kwani kanuni ya "Scientific Polling" zikoje?
Hatuwezi kujadiliana na mtu ambaye si mtaalamu wa majambo haya. Sawa na Mimi nijadili jinsi ya kutibu mtu wakati si Daktari. An intelligent person ataomba aeleweshwe si kujadili. Bye for now, nenda NBS akina Kwesigabo watakuelewesha
 
teh teh reasoning na logic inaleta raha sana duniani,

huenda TWAWEZA watashinda katika sakata hili hasa wakiamua kutumia LEGAL REASONING KUIJIBU ILE BARUA YA COSTECH
 
Huwa nacheeka nikisikia makada wa ccm wakisema siasa ni sayansi, halafu unakuta siku ya uchaguzi wanatoka na mabox ya kura ndani ya vituo vya kura kisha kurudisha yakiwa na kura za ccm. Halafu unakuta ushindi wa hivyo kuanzia maprof, PhD holders na wasio na elimu wanashangilia eti wanakubalika na wananchi!
kwahiyo hayo masunduku ya kura yanaibwaga kila sehemu au ilikua ni case ya kituo kimoja tu. Acha uzwazwa kichwa maji wwe.
 
Back
Top Bottom