Fastest criminal case in record

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
The ruling by Mwanza court that saw a Kenyan accused of trying to sell an albino being sentenced to 17 years in jail and a fine of more than $50,000 is one of the fastest in Tanzanian records. Kudos to the Judges/magistrates.

Lawyers with JF, please tell us, why do other cases with direct/open evidences take mammoth of time to conclude? Examples is a case whereby foreigners were captured fishing illegally in EEZ of Tanzania and also a Police traffick case by Chenge who is accused of Killing two ladies by his Prado early in the morning several months ago, of course plus several others!.
 
Siyo kweli kwamba ni hukumu ya kwanza kutolewa haraka.Zipo hukumu nyingine ambazo ziliwahi kutolewa haraka kama hizo.Mfano hukumu ya kijana aliyempiga kofi rais mstaafu Al Hassan Mwinyi ilitolewa papo hapo pia.Kutolewa au kutotolewa kwa hukumu mara nyingi kunategemea na mtenda kosa anakiri au hakiri kosa (plea of guilty or not gulty) haiwezekani mahakama ikamhukumu mtu kwa misingi ya kwamba kuna ushahidi wa moja kwa moja wakati mshtakiwa anao uwezo wa kupinga(contradict) ushahidi utakaotolewa dhidi yake.
 
OK. Lakini sasa ukimata meli inavua kwenye EEZ yako unakuwa unahitaji ushahidi gani au mtu akikataa unakubaliana naye vipi? NI kosa la wazi. Lakini sasa kesi inaingia mwaka wa pili........! Kisa, ati walikana
 
Back
Top Bottom