pH 7
Member
- Aug 10, 2014
- 89
- 29
Habari Wadau wenzangu!
Nina siku 15 (Wki 2 nasiku 1) tokea nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nilianza na Majike 15 na jogoo 1, nashukuru leo tarehe 21/09/2014 nimekamilisha trei moja la mayai na kupata mteja mara moja (Inaonyesha biasara ya mayai ya kuku wa kienyeji ni nzuri kuwa yana hitajika kwa wingi).
Plani yangu Mpaka mwisho wa mezi huu ninunue mitetea 10 mingie na jogoo 1 jumla ya uku wote iwe 27, ili niongeze uzalshaji wa mayai. Na kufikia mwezi wa 11 ninunue eneo kubwa la kufugia kibiashara maana hapa ni kama natafuta uzoefu.
Kimenistua kitu kimoja niliona juzi Mtetea mmoja una chechemea nikamshika baada ya kumchunguza nikamkuta anakidonda chini ya nyayo zake (Kama inavyo onekana kwenye picha ya tatu hako kakidonda kanjano hivi) kwa sasa hali yake si mbaya yupo karibu kurecover.
Naomba ushari juu ya hili tatizo la huyu mtetea ili niweze kulikabili lisiudie tena maana nahisi hajisiki vizuri na anaweza punguza utagaji.
Nashukuru wadau wote walio nihamasisha kuingia kwenye ufuaji kwa amna Tofauti tofauti.
-----------------------------------------------------------UPDATES--------------------------------------------------------------------------------
Habari Wadau kwa mara nyingine.
Yule mtetea aliye kuwa ana chechemea kwa sasa kapona kabisa na sikutumia dawa yeyote, ila naona mwingine pia aliye anza kutaga juzi anachechemea na hana kidonda sehemu yeyote miguuni sasa hapa ndipo ninapo shindwa kuelewa. May be Wanapigana(lakini ka kipndi chote nilicho kaa nao sijaona hii tabia) au ni uzito wa jogoo anapo wakmbiza maana ni jogoo kubwa.
Nimeendelea kutafuta case kama hii kwenye nyuzi nyingine ila bado sijapata.
Wenu katika UJASIRIAMALI: pH 7