Fao tanzania salaries range

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,574
Naomba kujua salary ranges zitolewazo na fao tanzania, kwa nafasi za programme officers na programme managers.asante
 
Mkuu! Usione watu wamekuchunia, itakuwa hakuna mtu mwenye detail hizo. Akipatikana atakutumia.
 
Maswali/hoja nyingine bana, aaghaaaaaaaaaaaa..................
 
Nyami nakushukuru kwa taarifa.Nilichokigundua, watu wengi hatun aundani wa UN agencies, ndo maana wengi wameshindwa kutoa taarifa.
 
Back
Top Bottom