Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,640
- 25,906
Kwa Wazungu ni kosa lao hilo ila Afrika hakuna kosa hapo Mkuu na goggle watashindwa kesi hiyo...Siku atakufa mtu kisa amekunywa dawa aliyoshauriwa atumie na wanafacebook tutalalamika Meta imemsababishia kifo.
Google map si tunaiupdate wenyewe watumiaji, tunafunga barabara, tunasema duka flani lipo, njia flani mbaya etc.
Sidhani kama kosa lao Google hapa.
Poleni wafiwa.