chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,225
- 20,993
Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea.
Pia baadhi wamesema ziara hiyo katika kaburi, inaweza kuwa na sababu za kishirikina, na Kuna habari kwamba wanajipanga kwenda na wataalamu wao katika eneo hilo.
Pia baadhi wamesema ziara hiyo katika kaburi, inaweza kuwa na sababu za kishirikina, na Kuna habari kwamba wanajipanga kwenda na wataalamu wao katika eneo hilo.