Familia nzima ya Dr. Kigwangwala imeshindwa uchaguzi Nzega leo

Fisadi Mtoto

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
639
79
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema
 
Hajashindwa watakuwa wamemwengua kupoteza ushaidi wa rushwa aliyetoa.Au alikosema masharti dawa aliyopewa na mganga aweke kwenye vitumbua kaweka akiwa kavaa nguo
 
Wajumbe wamekataa rushwa ya vitumbua walitaka walau 10,000 kila mmoja. Vitumbua!!! Kweli Dk hapo alichemsha
 
atapendekezwa na kamati kuu. alifikili atafanya fitina kama aliyo fanya kwa bashe kwa sio raia?. pole yake. mia
 
Du kuanguka kwa Dr hii inaniuma sana vipi huko na kina Seleli au Bashe hawakugombea hebu tujuze, na km wanataka kwenda CDM waacheni waende maana wanataka haki ya kila kitu na vitumbua km katoa mm sili
 
All in all i think he is one of very few from CCM who has potentials to be a good leader, na tumeona wengi wa aina yake kutokubalika kwenye kile chama, mf ni pale Sitta ambaye alikuwa Spika wa uhakika na mwenye kujali maslahi ya taifa alivyoangushwa kwenye uspika!! I think they Hate good leaders!!!
 
All in all i think he is one of very few from CCM who has potentials to be a good leader, na tumeona wengi wa aina yake kutokubalika kwenye kile chama, mf ni pale Sitta ambaye alikuwa Spika wa uhakika na mwenye kujali maslahi ya taifa alivyoangushwa kwenye uspika!! I tthink they Hate good leaders!!!
mkuu, haya ni matusi ya nguoni kwa watu wa Nzega, Hebu tupe hiyo potential waliyokuonyesha yeye na mke wake?
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema

Kama WAMA na Mama Salma hawapo hana UBAVU... ni WIZI TU...
 
Tamaa mbele mauti nyuma. Kama alitoa rushwa na kubainika kuwa alitoa hakuna haja ya kumpa pole bali hongera kwa kushindwa. Kama yeye na wanafamilia yake walifikia pale kwa kutumia umaarufu wake basi waliowaangusha wamefanya vizuri hata kama alikuwa akiigiza mfano wa mwenyekiti wake Jakaya Kikwete ambaye mke na watoto wake wamo anga za juu za mafisadi na magamba.
 
All in all i think he is one of very few from CCM who has potentials to be a good leader, na tumeona wengi wa aina yake kutokubalika kwenye kile chama, mf ni pale Sitta ambaye alikuwa Spika wa uhakika na mwenye kujali maslahi ya taifa alivyoangushwa kwenye uspika!! I think they Hate good leaders!!!
Sitta gani alikuwa anajali maslahi kitaifa? Sitta alikuwa mnafiki alijidai kujali maslahi pale alipoona kuwa atafaidika kwenye harakati zake za kutaka uraisi, mwisho wa siku alifisadi tu kama wengine, kumbuka hitimisho la Richmondi walifanya nini yeye Mwakyembe na wenzao wote akina Kilango, usidanganyike kirahisi ndugu yangu.
 
mkuu, haya ni matusi ya nguoni kwa watu wa Nzega, Hebu tupe hiyo potential waliyokuonyesha yeye na mke wake?
yahani we hujaona potential ya kugawa "kitumbuwa" chake na mkewe? Hebu nambie ni mwana ccm gani pale nzega awezaye kugawa "kitumbuwa"?
 
Sitta gani alikuwa anajali maslahi kitaifa? Sitta alikuwa mnafiki alijidai kujali maslahi pale alipoona kuwa atafaidika kwenye harakati zake za kutaka uraisi, mwisho wa siku alifisadi tu kama wengine, kumbuka hitimisho la Richmondi walifanya nini yeye Mwakyembe na wenzao wote akina Kilango, usidanganyike kirahisi ndugu yangu.
Richmond haijawahi kuitimishwa! Labda kwa wana ccm
 
Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia UWT nae kwa bahati mbaya ameanguka na mdogo wake aligombea mkutano mkuu wa taifa kupitia Vijana nae kwa bahati mbaya ameanguka.....poleni sana kwa kushindwa na kimbilieni Chadema

umehaona chadema ni makimbilio ya walioshindwa??
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Yaani hakuna mtu dhaifu kwenye uchaguzi kama Dr. Saidi Bagaile! Lakini jamaa ana roho ya Paka, halikati tamaa tu! Huyu akimaliza Ubunge agombee ujumbe wa mtaa tuone kama atafaulu! Naona hata ukiitishwa uchaguzi kwenye Boma yake anaweza angukia pua! Ha ha ha haaaaa!!
 
Back
Top Bottom