Falsafa huishi bali upuuzi haudumu

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,827
Some time umejaribu kuonesha hisia zako kwenye andiko lako humu na zikiishia kufutwa na kupotezwa , but usijari comment za wadau humu basi we andika moyo wko upone , unaposubili coment jua utaumizwa zaidi , Mwalimu wg ashawai niambia ukijiona una hasira chukua karatasi nyingi andika jambo lililokuchukiza Kila karatasi na uchane hasira zitakwisha , naamini sisi wote ni waafrika pia ni watanzania but wengi watatutenga kwa miandiko yetu humu jf na kuwashawi maadmin wafute nyuzi zetu , lakini tusikate tamaa jua wewe ulishaandika hata kama hawakuachia post , au hata kama hawakukoment , Kuna ndugu humu miaka ya nyuma kidogo aliitwa miguu ya kuku alikua na matatizo na yalimsonga lakini watu humu walimtukana na kumkejeri mno ila yule mtu alipofariki aligeuka kuwa mtu maalufu humu na watu kutejea post zke humu Ila haikusaidia kitu , kwa sababu hatukuwai kumtia moyo wala kumsaidia hio ndio ngozi nyeusi , mimi naamini post yg hii kama haikufutwa lakini pia haitakua na coment nzuri ,itakua ni coment za kejeri na matusi , ila wote wanaotukana na kukukejeri tunapaswa kuwaombea wawe na mwisho mwema Amina
 
Back
Top Bottom