Fake alien invasion

ikiwa huamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hujamwona basi huna akili kwa sababu hujawahi kuuona ubongo wala wakili yako mwenyewe
kama ujawai ona bandama zako lakini unaamini unazo! inakuwaje humuamini Mungu! au unafikili kila kitu lazima ukione! ndio uamini!?
 
Mungu hakumuumba shetani,wala hakuumba Dhambi

Mungu alimuumba Malaika mwenye uhuru wa kuchagua na kufanya maamuzi
[Freewill]

Malaika,kama tulivyo sisi,wana uhuru wa kutii au kutotii

Lucifer akatumia uhuru wake aliopewa na Mungu,kutokutii,akaasi.

Mungu akampa,nafasi ya kutubu makosa yake,lakini hakufanya hivyo

Mwisho akafukuzwa.

Huwezi kumlaumu Mungu,kwanini alimuacha Lucifer atende dhambi.Huo ulikuwa ni uchaguzi wake yeye mwenyewe[Lucifer]

Ni sawa na kumlaumu mzazi,"hivi wewe kwanini mwanao ni Jambazi,teja,au mwizi

Si kosa la mzazi,ni kosa la mtoto!
Nlitaka kusema kitu ila ngoja niache kwanza. Hivi kweli mtu unashindwa kutafuta ukweli, unashikilia uliokaririshwa kutoka kwenye vitabu ambavyo ni manipulated. Mnatia huruma sana. Unavyoelezea utadhani ulikuwepo eti........
 
Ahsante chief,

Kuhusu Yesu kuwa mweusi,kuna uzi wa mdau fulani niliona anaelezea hicho kitu

Sasa ni lini hili tukio litatokea,na kwa malengo yapi?
Mbona jibu la swali lako lipo kwenye mada yako Mish?

"To fake the second coming of Christ"

Kuna documentary moja hivi nikiikumbuka nitakuambia ukaiangalie maana ipo youtube....
 
Nlitaka kusema kitu ila ngoja niache kwanza. Hivi kweli mtu unashindwa kutafuta ukweli, unashikilia uliokaririshwa kutoka kwenye vitabu ambavyo ni manipulated. Mnatia huruma sana. Unavyoelezea utadhani ulikuwepo eti........
Kweli mkuu yani watu wazima walio na mandevu wnasadiki wasichokiona, bibilia kama ninavyojua ni kitabu kilichoandikwa karne ya 18. Dini ilizaliwa wakati Tapeli wakwanza alipatana na Mjinga miaka maelfu yaliopita.
 
Kwasababu uwezo unaoongelewa juu yake ni tofauti na uhalisia uliopo. Kwa mfano mnasema yeye ndo muweza wa yote. Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote. Je, uwepo wa shetani ni mpango wake?
Hili ndo swali linalokufanya uamin hakuna mungu?
 
Kweli mkuu yani watu wazima walio na mandevu wnasadiki wasichokiona, bibilia kama ninavyojua ni kitabu kilichoandikwa karne ya 18. Dini ilizaliwa wakati Tapeli wakwanza alipatana na Mjinga miaka maelfu yaliopita.
Swali rahisi una uhakika gani kuwa wewe ni wewe ,au prove kuwa huoti unachokifanya sasa hivi?
 
Sina uhakika lakini afathali ndoto yangu kuliko ya wengine
Kama huna uhakika ,ina wezekana hao wanaoamini kitabu kilchoandikwa miaka ...hiyo uliyoitaja wakawa sahihi kuliko wewe ,kama hujui watu huishi kwa imani ndio maana unaamini wewe ni wewe ingawa ukikokotoa kwa juu utagundua hata unachodhani unajua kuwa hujui kuwa hujui kwamba hujui kuwa hujui hujui hujui.......................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
 
hahaha kweli mkuu lakini kuna kitu inaitwa logic which is still logic hata kwa ndoto ama vipi?
 
hahaha kweli mkuu lakini kuna kitu inaitwa logic which is still logic hata kwa ndoto ama vipi?
I wish tungekuwa na uwezo wa ku-explain kila kitu na logic supported by analytical data--the problem is we cant and we wont kwa sababu hata uwezo tulio nao ni illussion hatuna hata uwezo wa kuongeza urefu wa kucha zetu.
 
Back
Top Bottom