Fair play ya Aina yake

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,041
1,377
Club ya soka Italy Hatarini kuadhibiwa kwa kuruhusu Kufungwa Goli ili kutoa Fair Play


a very controversial fair play.... they call it a "gesture of kindness" lakini wahusika wa mambo ya soka wameanzisha uchunguzi kwa nini jamaa waliruhusu wafungwe goli bila kuzuia......

Sasa maana nzima ya Fair Plya iko wapi?... Binadam watu wa ajabu sana..

Angalia hiyo link hapo chini uone....


[ame]http://www.youtube.com/watch?v=0HiT0E6KwL4&feature=player_embedded[/ame]
 
Back
Top Bottom