Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwanza hongera sana kwa uzi mzuri dada faiza
Mimi nina maswali haya;
Umeolewa???

Una watoto wangapi???
Kabila gani au umetokea mkoa gani maana napenda sana post zako
Una watoto wangapi???
Inshaallah
 
UNASHAURI NN KWA VIJANA WA KITANZANIA WASIO NA AJIRA NA JE UKIPATA NAFASI YA KUWASAIDIA UTAWASAIDIAJE?
 
Ulichojibu ni Yale yale ambayo tumeyazoea kutoka ktk midomo yenu kua mlifelishwa makusudi kwasababu ya Imani yenu kwamba hawataki msome sn.

Haya haya ndio hua mnadai ata ccm ina mfumo Kristo na wakati huo huo kuacha ccm hamtaki na ni wanazi wakubwa Wa ccm lkn wakati mwingine mnakuja ooooh ccm ni mfumo Kristo.

Ni udhaifu huo tena mnapaswa mbadilike sn.
Tunakumiss sana
 
"Qur'an 49:13.
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu niMwenye kujua, Mwenye khabari"

Kwakuwa wewe umekuwa mwenye kurekebisha makosa yote yafanywayo na watu hapa JF kwenye lugha ya kiswahili kimaandishi, naamini una uelewa mpana wa lugha ya kiswahili, swali langu ni;

- Maandishi yenye rangi nyekundu hapo juu yana maana gani?
- Uumbaji ulifanywa na wangapi?


Natanguliza shukrani za dhati.
 
Naomba ufafanuzi kwenye hili mkuu

Pitia hii Hadith:

While I was standing beside the Prophet
durood.gif
, one of the rabbis of the Jews came [...] then said: "I have come to ask you about something no one on earth would know except a Prophet [...]. I have come to ask you about the child." The Prophet said: "The fluid of the man is white and that of the woman yellow. When they unite and the male fluid prevails upon the female fluid, their child is male (adhkaraa) by Divine permission. When the female fluid prevails upon the male fluid, their child is female (aanathaa) by Divine permission." The Jew said: "What you said is true; you are truly a Prophet!" He turned and went away. The Messenger of Allah said: "This man just asked me about things of which I had no knowledge whatever until Allah had that knowledge brought to me!"

Soma zaidi: Hadiths On The Formation Of Human Life
 
Sikasema yeye ni mwanaume? Sasa hapo kwenye kuolewa mbona sijaelewa umemaanisha nn.
Awe mwanaume awe mwanamke wote hufunzwa nn cha kufanya Mara baada ya tendo la ndoa , kwaiyo sioni mantiki mtu kama kaoa au kaolewa aje aulize kuhusu kutoa Janaba, msimchoshe Faiza wa watu
 
Back
Top Bottom