Faida za kulala uchi

mkuu mtaani kwetu, kuna nyumba iliwaka usiku, baba mwenye nyumba alitoka na koti afu chini malighafi zote wazi, aliporudiwa na akili alisema yeye alikurupuka akiwa na msuli, so hajui koti kalitoa wapi?
Enzi za chai maharagwe (daladala) mzee mmoja aliletewa chupi 4 toka ng'ambo na mtoto wake. Siku moja alikurupuka asubuhi kuwahi chai maharagwe hata akasahau kuvaa chupi. Alikaa kwa kujiachia akidhani kavaa chupi mojawapo kumbe kasahau. Abiria wa upande wa pili wakaanza kumshangaa lakini yeye alidhani wanaishangaa chupi. Akawaambia "mnaishangaa hii moja, ninazo 3 kama hizi nyumbani"!!!!
 
kikojozi na umekamatwa maranyingi weye
ha ha ha na ukubwa wote huu nijikojelee..!
nakumbuka kpnd niko mdogo nljkojolea ktandan sister akanikurupua asubuh kuona kashika fmbo nikalala mbele ilikuwa ktuko sku hiyo maana alkuwa ananifukuza nikiwa uchi dyudyu njenje utoto bhana raha kwelikweli...:(:(:(
 
haaaa.. siku ukilala uchi lazima ujikojolee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom