Faida za kufanya mapenzi na mwenza wako kabla ya ndoa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ewe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali.

Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe mke wa pili.

Sio hivyo tu, baada ya kumuoa unaweza kuta anayo kubwa ukashindwa kufit, au ndogo sana ikashindwa kuingia, au inaweza isiwepo kabisa.

Hali kadhalika, unaweza kuwa mwanaume wa kushelega kwa muda wa dakika tatu, kumbe uliyemuoa anahitaji masaa nane kuridhika, mwisho wa siku ukachapiwa huko nje.

Pia ewe mwanamke, kamwe usimtamkie kauli ya tutafanya baada ya kuoana. Huwezi jua ni kipi utakachokutana nacho huko mbele.

Unaweza kukutana na ndingo na usiweze kulimudu, au ukakutana na kipisi cha sigara ukashindwa kutimiza haja zako. Au ukakuta hana risasi za kutosha ikala kwako.

Ewe mwanamke, akikwambia kuwa mtafanya baada ya ndoa, jua wazi anakwenda kukuvika mabomu. Kunakuwa na tatizo la kiufundi mahali.

Ni vyema kufanyiana majaribio kwanza kabla ya kufunga pingu za maisha. Ndoa ni gereza.

Vijana tuoe, ndoa ni baraka.
 
"Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe mke wa pili"

Nakumbana sana na hii changamoto kwenye mahusiano mabinti wa siku hizi wanachoka haraka sana kitandani. Ukiwa unamgegeda na kidume bado haujaridhika utasikia babe nimechoka huwa nakereka sana
 
Jifanye unanunua gari, unalitekenya uone kama linawaka. Unalipeleka nyumbani ukifurahiya kuwa gari linafanya kazi vizuri.
 
Vipi mkifanya na litokee jambo msioane? Ukitaka kuolewa na mwingine mfanye tena na bado msioane ...na list iendelee.
Jambo lipi hilo? Au ujauzito? Mwanamke unatakiwa uvae kondomu ya kike kama dharura dhidi ya mimba zisizotarajiwa. Ni jambo la kumuelewesha mwenza wako kuwa hapa tuko maabara ya mapenzi tunafanya majaribio
 
"Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe mke wa pili"

Nakumbana sana na hii changamoto kwenye mahusiano mabinti wa siku hizi wanachoka haraka sana kitandani. Ukiwa unamgegeda na kidume bado haujaridhika utasikia babe nimechoka huwa nakereka sana
Tena usiombe kukutana na yule ambaye yuko kimaslahi, ambaye anajua wazi kuwa kila akija kugegedwa, lazima aondoke na 20k. Yaani anakuwa hana tofauti na anayekususia lipapuchi, upige, ukichoka umgee posho yake alale mbele
 
Yaani unakuwa kama umenunua malaya wa mafungu wale wanaosimama barabarani unakuwa unafanya ngono tu lakini hakuna mapenzi
 
Kuna jamaa kabla ya ndoa alimbembeleza sana mke mtarajiwa watest kwanza mitambo lakini mwanamke akakataa hataki mpaka siku ya ndoa.

Siku ya kulipa mahari mshenga(mzee mtumzima) alimvuta chemba baba harusi na kuongea nae kiungwana kabisa na kumuomba kabla ya kulipia mahari ni busara awaruhusu wanandoa wafahamiane vizuri ili wasije wakashindwana mbele ya safari, baba mkwe akaja juu akawa mkali kwelikweli kwa kuona alichoambiwa ni udhalilishaji mkubwa kwake yeye na huyo binti yake, Basi kabidi wazee wenye busara zao wa pande zote mbili waingilie kati kumbembeleze baba Mkwe ili zoezi la mahari likamike na taratibu za harusi ziendelee.
Kweli mambo yakaenda vizuri na taratibu za harusi zikafata.

Siku 3 baada ya kufunga ndoa bibi harusi alitoroka kwa mumewe na kurudi nyumbani kwao hamtaki tena mume wake, mshenga alipokuja kusuluhisha baba mkwe kawa mpole anamuomba wakae waongee utaratibu wa kurudisha mahari huku bwana harusi kachachamaa anamtaka mke wake.

Kuna watu wengine wanajijua kabisa wana ulemavu wa kuzaliwa, hivyo linapotokea jambo kubwa kama ndoa hua ni vyema tukaacha mazoea busara ikatumika.
 
Famasiala nini! Ndoa nyingi mpya, kila uchwao, utamkuta binti kajiinamia tu mwenyewe akiwa kwenye dimbwi la mawazo huku akijutia hiyo kauli ya hadi unioe kwanza
 
Ewe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali.

Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe mke wa pili.

Sio hivyo tu, baada ya kumuoa unaweza kuta anayo kubwa ukashindwa kufit, au ndogo sana ikashindwa kuingia, au inaweza isiwepo kabisa.

Hali kadhalika, unaweza kuwa mwanaume wa kushelega kwa muda wa dakika tatu, kumbe uliyemuoa anahitaji masaa nane kuridhika, mwisho wa siku ukachapiwa huko nje.

Pia ewe mwanamke, kamwe usimtamkie kauli ya tutafanya baada ya kuoana. Huwezi jua ni kipi utakachokutana nacho huko mbele.

Unaweza kukutana na ndingo na usiweze kulimudu, au ukakutana na kipisi cha sigara ukashindwa kutimiza haja zako. Au ukakuta hana risasi za kutosha ikala kwako.

Ewe mwanamke, akikwambia kuwa mtafanya baada ya ndoa, jua wazi anakwenda kukuvika mabomu. Kunakuwa na tatizo la kiufundi mahali.

Ni vyema kufanyiana majaribio kwanza kabla ya kufunga pingu za maisha. Ndoa ni gereza.

Vijana tuoe, ndoa ni baraka.
Huu uzi una promote uzinzi. Upuuzwe.
 
Back
Top Bottom