Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

800px-Italian_garlic_PDO.JPG

Tafiti nyingi zimeshafanyika duniani kuhusu faida za kitunguu swaumu ambazo zimethibitisha kuwa mtu akitafuna na kumeza hata

punje moja tu ya kitunguu swaumu kila siku asubuhi, basi mtu huyo atakuwa amejitengenezea kinga ya mwili ya kudumu

itakayomlinda na maradhi mbalimbali, yakiwemo maradhi sugu yaliyoshindikana hospitalini.

Kitunguu swaumu kimegundulika kuwa rafiki wa damu mwilini, kwani kinapoliwa, huenda moja kwa moja kutoa sumu

zote kwenye damu na kuipa damu vitamin na huongeza uwezo wa damu kusafiri vyema katika mishipa hivyo kumfanya

mtu ajisikie mwenye afya njema kila siku.

Aidha, kitunguu swaumu kimegundulika kuwa na uwezo mkubwa wa kuzuia magonjwa ya moyo kwa kupenya katika

mishipa ya damu na kuvunja-vunja Cholestrerol zote ili kupisha njia ya damu iwe safi na wazi kutokana na ‘antibiotic'

iitwayo ‘Allicin' iliyomo kwa wingi katika chakula hiki.

China na India zinaaminika kuwa ni nchi ambazo wakazi wake ni watumiaji wakubwa wa kitunguu swaumu katika milo

yao ya kila siku. Tabia hii imewasaidia sana kujikinga na maradhi mengi yanayoweza kuzuilika. Bila shaka hata

Watanzania tukiamua kutumia kwa wingi kitunguu hiki katika milo yetu ya kila siku, tutajikinga na maradhi mengi na

hata uwezo wa kufikiri (Extra clear thinking capacity) utaongezeka, kwani kitunguu huongeza akili pia.

Ili nawe kujiepusha na maradhi na pengine kuyatibu yale ambayo umeshayapata kwa kutumia njia asilia, tafadhali anza

sasa utaratibu wa kutafuna na kumeza angalau punje moja tu ya kitunguu swaumu kila siku asubuhi kabla ya kula

chochote, fanya kuwa utaratibu wako wa kila siku. Ili kuondoa harufu mdomoni, tafuna kwanza kisha kapige mswaki na

kuendelea na mlo wako wa kawaida.

Kuna jambo ambalo linaweza kuwakatisha tamaa ya kupona baadhi ya watu watakaotumia kitunguu swaumu kama

dawa. Tafiti zimeonyesha kuwa upo uwezekano wa baadhi ya vitunguu swaumu kutokuwa na virutubisho
vinavyotakiwa. Hii inatokea, na inahusisha sana aina ya udongo uliyopo mahali kilipooteshwa kitunguu hicho na kwa

akili ya kawaida, utakubali kuwa kile kilichoota kwenye udongo wa mfinyanzi hakitakuwa na ladha sawa ya kile

kilichoota kwenye mchanga.

Kwa kutambua hilo, watafiti waliamua kutengeneza vidonge vya vitunguu swaumu ambavyo tayari vimepitishwa

katika maabara kuhakiki ubora kabla ya kusindikwa na kutengezwa vidonge vyenye uhakika wa tiba. Vidonge hivyo

vipo madukani na ukivihitaji utapewa maelekezo ya kuvipata kwa kuwasiliana na mwandishi wa makala haya.
 
Naomba maelezo mkuu, vinatbu hata fangasi za sehemu za siri, kama ndio vpmaelezo yake jinsi ya kutumia
Ndio hata Fangasi wa sehemu za siri inatibu tumia kwa utaratibu huu hapa chini:
​Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)!!

Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa

na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero

sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama

saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili

vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.

Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri

unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida ya kuto tapika.Baada ya SIKU 3 ,utaona minyoo

hakuna tena na

fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda

unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!

MATUMIZI YA KITUNGUU SAUMU?

Kitunguu saumu unakila kwa muda wa siku 3 Mfululizo kila siku asubuhi unakila kabla ya kula kitu au kunywa

kitu. Ukitaka kupona kabisa Fangasi ya aina yoyote ile na minyoo ya aina yoyote ile tumboni

mwako tumia hicho kitunguu saumu kwa muda wa siku 7 kila siku asubuhi utakuwa umepona

kabisa tumia kisha uje unipe feedback
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.

chanzo. Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)!!
 
Ulikuwa unataka Dawa ipi tena ya kumkomesha mpenzi? fanya hivi kila unapoahidiana nae kufanya tendo la ndoa jipake katika

kichwa cha utupu wako maji ya kitunguu Saumu kisha umuingilie atakupenda ajabu kwa sababu ya ule muwasho wake ndani ya utupu wake hata akijaribu kwa mtu Mwengine hawezi kupata Raha ya hiyo Kitunguu saumu ukisage na

kukikamuwa upate maji yake, lakini usifanye kwa shemeji yangu (Mke) wako fanya kwa Demu wako wa nje hiyo Dawa ninakupa kisha unipe feedback Kimox Kimokole
sasa mdau hapa hiyo dawa ya kitunguu swaumu unapakaa ukiwa na demu humo ndani au kabla hujaonana na demu japo mi naona ukipaka kabla ya kuonana na demu inaweza kuwa ishu maana hayo maji si yatakauka mapema tuu kwenye kichwa cha mboo
 
Unajipaka wakati demu yupo chumbani wewe nenda chooni kajipake kisha nenda kakutane nae kimapenzi lakini usije kufanya mke wa mtu ataachika kwa ajili yako na unaweza kupigwa mapanga shauri yako mimi simo huo mchezo.
 
sasa, si tunaambiwa vitu vya ziada haviruhusiwi kwenye uke? vitu kama asali na sabuni kwani vinaua bakteria natural. sasa vitunguu swaumu havina madhara haya?
 
Asali mwanamke akipaka kwenye uke inasaidia kuuwa Bacteria na akijipaka mwanamke asali kisha akaamuwa kufanya mapenzi na wewe dume basi ukifanya nae mapenzi utamganda kimapenzi hutoweza kutoka kwake utampenda sana huyo mwanamke . Kitunguu Saumu chenyewe ni Antibiotic kiwenye tena na Bacteria Mkuu Wallet umesoma wapi shule kuwa Kitunguu saumu kina Bacteria?
 
Last edited by a moderator:
mkuu MziziMkavu upi muda mzuri kwa matokeo mazuri wa kula kitunguu saumu? usiku/asubuhi?
Asubuhi kabla ya kula kitu kama huna maradhi kula punje 1 kila siku asubuhi na jioni. Kama una maradhi kula punje 2 asubuhi punje 2 wakati wa mchana na punje 2 wakati wa usiku. Mkuu Mapi
 
Last edited by a moderator:
FAIDA ZA KIAFYA ZA KUTUMIA KITUNGUU SAUMU (GARLIC) FEATURED

BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIWA NA KITUNGUU SWAUMU;

1.Kiua sumu

2.Kisafisha tumbo
3.Kiyeyusha mafuta(cholestro)
4.Huzuia mvilio wa damu
5.Kusafisha njia ya mkojo
6.Kutibu amoeba
7.Kuzuia kuhara damu(Dysentery)
8.Tumbo kushindwa kumeng'enya(Indigestion)
9.Gesi
10.Msokoto wa tumbo
11.Typhoid
12.Kidonda kilichooza
13.Dondakoo
14.Mabaka
15.Baridi yabisi(Rheumatisim)
16.Mishipa
17.Uziwi
18.Virusi vya homa ya mafua(Influenza)
19.Mafua
20.Saratani(Cancer)
21.Kifaduro
22.Kifua kikuu cha mapafu
23.Kipindupindu
24.Kutoa minyoo
25.Upele
26.Kuvunjavunja mawe katika figo
27.Mba kichwani
28.Kuupa nguvu ubongo
29.Kuupa nguvu fizi
30.Kuzuia meno kung'ooka
31.Nguvu za kiume
32.Maumivu ya kichwa
33.Kizunguzungu/kisunzi
34.Kutuliza maumivu ya meno
35.Kujenga misuli na kutia nguvu
36.Mkakamo wa ateri(Arteriosclerosis)
37.Shinikizo la damu
38.Kinga ya tauni na ukimwi
39.Magonjwa ya macho

KITUNGUU SAUMU
kimekuwa kikitumika kutibu na kuboresha afya ya mwili na hivyo kumfanya mtumiaji awe mrembo na mwenye afya bora.
Matumizi ya kitunguu saumu kibichi yamekuwa yakisaidia vitu vingi sana mwilini.

Baadhi ya hayo ni pamoja na kupambana na virusi, bakteria, fangasi na pia sumu mbalimbali hasa zile zinazosababishwa na baadhi ya vyakula mwilini.

Kutokana na hilo, matumizi ya kitunguu saumu kama tiba na kipodozi, ni jambo linalopendekezwa na wataalamu wa urembo wa asili.
Katika matumizi yake kitunguu saumu hutumika kwa kula na wakati mwingine kupaka, ambapo hili hutegemea zaidi na mahitaji au matatizo ya mtumiaji husika.

Pamoja na njia hizo nilizotaja hapo juu, lakini wataalamu wanashauri ulaji wa kitunguu saumu kibichi kila siku, kwani husaidia kuboresha afya ya muhusika.

Ikiwa utashindwa kukitafuna chenyewe, unaweza kuchanganya kwenye chakula kingine ambacho unatumia alimradi tu ukipate kikiwa halisi.

Kwenye urembo, kitunguu saumu husaidia kuondoa matatizo yafuatayo;

Chunusi

Changanya kitunguu saumu kilichosagwa kijiko kimoja na kijiko kimoja cha juisi ya ndimu. Chukua pamba na paka sehemu zote zilizoathirika. Kaa na mchangyiko huo kwa muda wa dakika 15 hadi nusu saa.Ikiwa utaendelea kwa muda wa wiki moja. Tatizo la chunusi litakuwa limeondoka kabisa.

Kunyonyoka kwa nywele
Ni kwa muda mrefu sasa kitunguu saumu kimekuwa kikitumika kama tiba ya kunyonyoka kwa nywele. Unachotakiwa kufanya ni kutumia mafuta yake kwa kupakaa kwenye ngozi ya kichwa kila siku kabla ya kulala.
Fanya hivyo mara kwa mara kwa muda usiopungua miezi mitatu na utaona matokeo yake. Ikiwa utakosa mafuta yake, si vibaya ikiwa utatumia kitunguu chenyewe kilichosagwa kwa kupaka kwenye ngozi ya kichwa kila siku usiku na kuosha asubuhi yake.

Fangasi vidoleni
Kupambana na fangasi kwenye vidole vya miguu na mikono, unashauriwa kutumia kitunguu saumu kilichosagwa kwa kupaka eneo lililoathirika. Hakikisha unakaa nacho usiku kucha ukiwa umevaa soksi ama glavu. Fanya hivyo kila siku hadi utakapoona muwasho na maumivu yameisha.

MBA

Paka kitunguu saumu kilichosagwa katika ngozi ya kichwa ama sehemu yeyote iliyoathirika. Hakikisha unatumia hadi pale ugonjwa utakapokuwa umetoweka kabisa.

MATUMIZI KATIKA NCHIMBALIMBALI:
kitunguu ni kiambatanisho muhimu kidishi kimaendeleo katika sehemu nyingi ulimwenguni.
Zamani Egpta iliheshimiwa kuwa ya hadhi ya kimungu.

MAANDALIZI YA KITUNGUU SAUMU KIMADAWA:
Kitunguu saumu na asali. Jaza chupa ya glasi na vitunguu saumu vilivyomenywa na
kukatwa katwa polepole mwaga katika asali ya kwamba inajaza nyufa katikati ya fundo ya

kitunguu. Weka glasi kwenye sehemu ya joto yenye c 20oc. Katika siku mbili hadi wiki nne,
asali itanyonya juisi ya kitunguu saumu na kitunguu hicho kitachechemea na kutoingiza

mwanga usichuje. Tumia katika muda wa miezi 3.
Kitunguu Saumu dawa ya kikohozi

Ponda kijiko cha chai cha kitunguu saumu katika kipimo hicho hicho cha sukari au asali.
Tumia mara moja k.mf. kwa kikohozi.
Kitunguu saumu mafuta. Weka g 200 za vitunguu vilivyokobolewa saga kitunguu saumu na

kuweka kwenye chombo cha glasi na ongeza mafuta ya kutosha (au vizuri mafuta ya chakula)

funga. Funga jagi kwa kubana vizuri, na weka ikae kwenye sehemu yenye joto kama C 20
kwa siku tatu. Tikisa mara chache kila siku. Halafu weka kwenye sehemu ya baridi, bila

kuchuja. Tumia katika muda wa mwezi mmoja.
Kitunguu saumu „tinkcha". Loweka g 200 za vitunguu vilivyomenywa na kukatwakatwa
katika lita moja ya brandi au alikoholi 40-50%, kwa siku 14 kwenye C 20° katika chupa

yenye kufungwa vizuri bila kupitisha hewa. Tikisa chupa hiyo mara nyingi kwa siku. Chuja
vipande vya kitunguu saumu. Tinkcha inakaa muda wa mwaka.

MAPENDEKEZO YA MATUMIZI
Kula kitunguu saumu kibichi- hii ni bora.
Tumia katika kupika.
Kula vitunguu saumu vingi kuzuia magonjwa. Kitunguu saumu ni safi sana kwa mfano kuna
usemi kwamba, chakula chako kiwe ndiyo dawa yako, na dawa yako chakula chako. Hii ni
kweli tu, hata hivyo, kwa kitunguu saumu kibichi, kama ilivyo vitu vingi vyenye nguvu

vinaangamizwa katika kupikwa. Vitunguu saumu vibichi vinatia nguvu katika mfumo wa
kinga ya maradhi. Matumizi kawaida ya vitunguu saumu yameonyeshwa katika kupunguza
madhara ya magonjwa ya moyo, kiharusi, kansa, msukumo wa damu na homa ya mafua

Makali (flu).
Tunashauri kwa nguvu ya kuwa wanaoteseka kwa UKIMWI (AIDS) waweke
kitunguu saumu katika chakula chao cha kila siku, kupunguza nguvu ya magonjwa mengine.

Kwa sababu inafanya mara mbili, kwa matumizi ya nje na kwa ndani kama dawa ya kuua
wadudu, vitunguu saumu ni masaada wa kutibu magonjwa yote ya kuambukiza; Toifodi,
minyoo, bilhazia, malaria, damu yenye maambukizo na sumu n.k. Zaidi yake vitunguu saumu

vinaimarisha kumbukumbu, hupunguza shindikizo la damu na Homa, na vinafanya kazi
kupinga ugumu wa kuta za ateri (hardening of arteries). Vitunguu saumu pia vinapinga virusi
na dhidi ya kinyume cha mambo ya fangasi.

1
.Majipu au uvimbe na chunjua.
Saga vitunguu saumu vibichi na funga vilivyopondwa kwenye sehemu ya jipu, uvimbe au
Chunjua mara mbili kwa siku na gandamiza. Anza matibabu haya mapema iwezekanavyo.

2. Amiba.
Katakata vitunguu saumu sawasawa vipande vidogo na chukua kijiko kikubwa 1 pamoja na
Chai mara tatu kwa siku (usitafune, kusaidia kupinga kutoa harufu mdomoni). Endelea na
Matibabu haya kwa siku 5. I (H-M Hirt) aliponywa mwenyewe toka Amiba kuharisha
damu kwa Tiba hii.

3
. Malaria.
Katakata vitunguu saumu sawasawa. Meza kijiko kimoja cha vitunguu hivi mara tatu kwa
Siku na kunywa lita 2 za limao glasi ya chai kwa siku. Endelea na tiba hii kwa siku 5.
Angalia pia ukurasa wa 8 kwa ajili ya malaria.

4.
Kisukari, shindikizo la damu
kinga ya ugumu wa kuta za arteri (hardening of the
arteries).
Kula vitunguu saumu kwa wingi, vitunguu saumu na vitunguu vinapunguza sukari katika
damu na kusawazisha damu ya cholesteroli, na shindikizo la damu. Badala yake chukua
matone 20 ya vitunguu tinkcha mara 3 kwa siku, basi hii ni pungufu ifuatayo:

5.
Kikohozi, homa, sinusitis na kuvimba koo.
a) Kula klovu ya vitunguu saumu mara tatu kwa siku.
b) Chukua kijiko cha chai cha kitunguu saumu asali kila masaa machache.
c) Watoto wanaweza kutumia kijiko cha chai cha kitunguu saumu
mchanganyiko kila baada ya masaa machache.
d) Chukua kijiko cha chai cha kitunguu saumu mafuta mara 6 kwa siku.

6.
Kandika.
Chukua kijiko cha chai cha kitunguu saumu au kitunguu saumu yenye asali, kila masaa
machache. Weka mdomoni kwa muda mrefu iwezekanavyo.

7.
Fangasi inayoambukiza pamoja na ugonjwa wa ukungu kwenye vidole vya miguu.
Funga sehemu zilizoathirika kwa juisi ya vitunguu saumu vibichi vilivyopondwa au
mafuta.

8.
Homa ya matumbo na maambukizo mengine.
Kama itatokea homa ya matumbo, bacillary, kuharisha damu, kifua kikuu, kipindupindu,
trypanosomiasis (ugonjwa wa kusinzia): Siku zote ongeza kitunguu saumu kwa tiba ya
kawaida.

9. Kinga ya mishipa ya damu.
Kitunguu saumu siku zote kinafanya damu kuwa laini na kukinga kutengeneza damu
kuganda ambayo inasababisha shida ya thrombosis. Hii ni muhimu kwa wagonjwa wanaolala kitandani kwa muda mrefu.

10.
Kuota meno utotoni.
Futa ufizi kwa fundo la kitunguu Saumu.

Kitunguu thaum kina harufu ya pekee isiyowapendeza watu wengi, ingawa kimebeba siri nyingi za tiba. Kwa ajili hiyo maanayake kwa kilatini ni : harufu ichomayo, na kwa kiarabu lugha ya Quraan huitwa: fuum, nayo ndio sahihi zaidi; kwasababu thaum ni lafdhi ya kihieroglifu ya kifirauni (hieroglyphic).

Allah S.W amesema:
" Na (kumbukeni habari hii kadhalika) Mliposea: Ewe Mussa! hatuwezi kusubiri chakula cha namna moja tu, basi tuombee kwa Mola wako atutolee vile vinavyooteshwa na ardhi kama mboga zake, matango yake, fuum (kitunguu thaum) zake, adesi zake na vitunguu vyake." (2:61)

Iliandikwa katika piramidi (pyramid) huko Misri tangu miaka 4500 iliopita kuwa kitunguu thaum kilikuwa wakipewa wajenzi ya piramidi. Walikuwa wakila kitunguu thaum ili wapate nguvu na nishati.

Mwandishi wa kitabu juu ya tiba zinazotokana na kitunguu thaum alimnasihi mfasiri wake kuwa " Iwapo unataka nguvu, nishati na uwekevu basi kula tembe ya kitunguu thaum na glasi ya maji kila siku kabla ya kula chakula. Daud Al-Antaky ameeleza katika kitabu chake cha Tadhkira kuwa kitunguu thaum hupoza zaidi ya maradhi 40.

Wale wapiganaji wa miereka wa huko Roma walikuwa wakila kitunguu thaum kabla ya kupigana ili wapate nguvu na wepesi.

Imethibitishwa kisayansi kuwa kitunguu thaum husafisha damu kutokana na mafuta (cholestrol) ambayo husababisha magonjwa ya mishipa ya ateri na maradhi ya moyo, na pia husafisha damu kutokana na vijidudu na maikrobati kuliko (antibiotic) vengine. Pia imethibitishwa kwa kuzuia kuenea kwa sumu ya nyoka katika mwili wa mwanaadam na pia husafisha maida kutokana na vimelea (parasites).

Rais wa matabibu, Ibn Sina amesema kuhusu kitunguu thaum: "Kitunguu thaum hulainisha na kuondoa gesi, hutoa vidonda katika ngozi, huhifadhi maji. Vumbi lake likichanganywa na asli akipakwa mwenye ukoma litamfaa, kitunguu thaum humfaa mwenye maradhi magonjwa ya mishipa na nyonga (sciatia). Maji yake (yaliotolewa kwa kupikwa) hutuliza maumivu ya meno, vilevile hufaa kwa kikohozi.

Kitunguu thaum kimekusanya protein 49% mafuta muhimu ya sulphur 25% na kiasi flani cha chumvi, homoni (hormones) zitiazo nguvu za kiume na vinavyoteremsha hedhi.

BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIWA NA KITUNGUU SAUMU:

Kiua Sumu:
Saga tembe tano za kitunguu thaum, changanya na asali kikombe kimoja kilichochanganywa na habbasouda na kunywa papo hapo. Kunywa asubuhi na jioni. Paka mafuta ya kitunguu thaum pahala panapouma iwapo ni sumu ya nyoka au paka nje ya tumbo iwapo umekunywa sumu.

Kusafisha tumbo:
Kabla ya kula chakula, meza tembe za kitunguu thaum na baadae kunywa maji ya shimari yaliyochanganywa na asali kwa muda wa wiki moja.

Kiyeyusha mafuta (Cholestrol):
Unapokula chakula kila siku, weka katika kachumbari kiasi cha tembe 2 vilivyosagwa ule pamoja na kachumbari.

Kiongeza mkojo chenye kusafisha njia za mkojo:
Chemsha vizuri hairi, na baada ya kupoa tia tembe 3 za kitunguu thaum zilizosagwa. Kunywa kinywaji hicho kila siku kabla ya kula na kunywa juisi ya limau/ndimu.

Kuharisha damu (Dysentery):
Chukua tembe ya kitunguu thaum uikatekate na uile; fanya hivyo kwa muda wa wiki moja na bora zaidi ukinywa na mafuta ya zaituni kijiko kimoja.

Gesi na Indegestion:
Kunywa juisi ya pea iliyochanganywa na tembe 3 za kitunguu thaum kabla ya kulala kila siku.

Kutibu Typhoid:
Kata tembe 5 za kitunguu thaum, changanya ndani ya maziwa ya moto yaliyochanganywa na asali kunywa kabla ya kulala. Pia paka uti wa mgongo mafuta ya kitunguu thaum yaliyochanganywa na mafuta ya zeti, na asubuhi vuta moshi wa kitunguu thaum kwa muda wa dakika 5.

Kidonda kilichooza:
Ponda kitunguu thaum mpaka iwe laini kama marhamu halafu jifunge nacho kwa kutumia bendeji, japo kitawasha lakini kitazuia ugonjwa wa gangrene ambao unaweza ukapelekesha kukatwa kiungo. Vilevile unaweza kusafisha kidonda kwa kuchanganya kitunguu thaum kilichosagwa kikatiwa maji vuguvugu (warm water) na kikasafishwa kidonda.

Mishipa:
Kata tembe za kitunguu kitunguu saumu na umeza kwa maziwa ya moto (sio moto sana) yenye matone ya ambari kabla ya kulala kila siku, dawa hii huipa mishipa nguvu.

Homa ya mafua (Influenza):

Kunywa juisi ya machungwa na juisi ya limau zilizochanganywa na tembe 7 za kitunguu thaum kunywa juisi hiyo kabla ya kulala. Vuta moshi wa kitnguu thaum.

Mafua:
Meza tembe za kitunguu thaum baada ya chakula pamoja na juisi ya kitunguu thaum iliyochanganywa na juisi ya limau pamoja na kuvuta moshi wa kitunguu thaum.

Saratani (Cancer):
Katika kitunguu thaum kuna kiini kinachozuia saratani, kwa kila mgonjwa wa saratani anashauriwa ale kwa wingi kitunguu thaum na karoti (carrot).

Kifua kikuu (cha mapafu):
Kila asubuhi kabla ya kula chakula meza tembe 3 za kitunguu thaum, saga ule pamoja na mkate na jioni vuta moshi wake.

Kipindupindu (cholera):
Ili kujikinga na maradhi hayo wakati kikienea, kula kijiko kimoja cha kitunguu thaum kilichosagwa na kukorogewa katika asali baada ya kila chakula.

Kutoa minyoo:
Ponda tembe 3 za kitunguu thaum, tia ndnai ya maziwa na kunywa (bila kutia sukari) jioni kabla ya kulala na asubuhi kunywa mafuta ya mbono.

Upele:
Chukua tembe 5 za vitunguu thaum uvisage na uvikoroge katika shahamu na paka pale penye upele kuazia jioni mpaka asubuhi na ukoshe kwa maji ya moto tumia kwa muda wa wiki moja.

Mbaa kichwani:
Ponda uzuri vitunguu thaum 3 na uvikoroge katika siki ya tofaha (Apple vinegar) katika chupa ya bilauri (sio plastiki) na uache juani kwa muda wa wili moja. Baada ya hapo jipake kichwani pamoja na kusugua kwa muda wa wili 1 na baada ya wiki jipake mafuta ya zeituni.

Nguvu za kiume:
Saga kitunguu thaum kitie ndani ya mafuta ya zeti na weka katika moto mdogo mdogo mpaka iwe rangi ya manjano na tia katika chupa na wakati wa haja jipake katika dhakari na osha baada ya saa moja.

Kujenga misuli na kutia nguvu:
Kila siku kabla ya kula kunywa kikombe kikubwa cha maziwa ya ngamia yaliyotiwa tembe 2 za kitunguu thaum iliyosagwa. Kunywa kwa muda wa mwezi mmoja mfululizo.

Kinga ya taunni na ukimwi:
Ngao kubwa ya maradhi mabaya ni Kumcha Allah S.W mwanzo na mwisho wa siku. Chukua juisi ya kitunguu thaum uichanganye na asali na unywe utafanya hivo pamoja.

KITUNGUU SAUMU.
tangu kale kimekuwa kikijulikana kama 'dawa ya kushangaza' na kutumiwa na watu wengi katika kutibu mafua na influenza. Miongoni mwa faida za kitunguu swaumu ni kuzuia kupatwa na magonjwa mbalimbali na maambukizo ya virusi. Hivyo kitunguu swaumu hujulikana kama antibiotiki ya asilia. Uchunguzi umeonyesha kwamba kula kitunguu swaumu kunapunguza kushadidi ugonjwa wa influenza na hata kuzuia kupatwa na ugonjwa huo. Vilevile kula kila mara kitunguu swaumu, huzuia kupatwa na magonjwa ya moyo, kwani kitunguu swaumu huzuia damu isigande kwenye mishipa ya damu.
Halikadhalika kitunguu swaumu ambacho pia ni kiungo muhimu cha chakula kina potassium, na hivyo watu wenye ugonjwa wa shinikizo la damu wanashauriwa kula vyakula vilivyopikwa kwa kitunguu swaumu.
Si vibaya kujua kuwa katika uchunguzi uliochapishwa mwaka 2001, imeelezwa kwamba, kitunguu swaumu kina athari kubwa na nzuri pale kinapochanganywa na baadhi ya dawa nyinginezo katika kutibu Ukimwi au HIV.
Haya shime jamani… kuanzia leo vyakula visikose kuungwa na kitunguu thomu, iwapo unaogopa kupatwa na influenza kama mimi!

MADHARA YAKE:

Kitunguu saumu kinaweza kukera ngozi hasa baada ya kutumia kwa muda mrefu. Epuka

kuhusisha kwenye macho.

Warning: Onyo: Kwa Mwanamke Mwenye Mimba asile kwa wingi Kitunguu Saumu kibichi ,Au Kwa Mtu Mwenye Maradhi ya Presha ya Kushuka asile kitunguu Saumu , Au mtu anaye takiwa kwenda kufanyiwa Operesheni Tafadhali asile kitungguu saumu kibichi. Kitunguu Saumu kilicho pikwa anaweza kula mtu yoyote hakina madhara kwani ukikipika unakipunguza nguvu yake maadhara yake yanakuwa ni madogo kuliko kukila kitunguu saumu kibichi kinakuw a na nguvu sana.

Chanzo.MziziMkavu.
FAIDA ZA KIAFYA ZA KUTUMIA KITUNGUU SAUMU (GARLIC) FEATURED
 
Mkuu mm nashukuru sana kwa somo zuri, mm ni mmoja wapo nayetumia sana kitunguu sana na naona faida yake sasa swala la minyoo, fangasi kwangu hamna wala mafua. Naomba unisaidie ninashida moja inanisumbua sana HAJA YANGU KUBWA KUTOA
ALUFU KALI SANA NAOMBA USHAURI WAKO?
 
Kitunguu saumu „tinkcha“. Loweka g 200 za vitunguu vilivyomenywa na kukatwakatwa

Ahsante sana nimefurahi sana! Naomba unisaidie ninatazo la,haja kubwa kutoa harufu sana pindi niendapo chooni je nn tiba yake? Plz naomba nisaidie
 
Mkuu mm nashukuru sana kwa somo zuri, mm ni mmoja wapo nayetumia sana kitunguu sana na naona faida yake sasa swala la minyoo, fangasi kwangu hamna wala mafua. Naomba unisaidie ninashida moja inanisumbua sana HAJA YANGU KUBWA KUTOA
ALUFU KALI SANA NAOMBA USHAURI WAKO?
Kuna chemikali inaitwa Bilirubin inapatkana kwenye

nyongo, kazi yake ni kupunguza harufu ya kinyesi huenda Una tatizo la kutokuwa nayo ya

kutosha. Nenda Hospitali kawaone Madaktari wakupime .Au Tumia Dawa hii hapa chini fanya

hivi: Tumia Kunywa
Fanta Passion mbili kila siku ,moja mchana ukisha kula na nyingine usiku

unapokaribia kulala kwa muda siku tatu tatizo lako litaisha. Sifanyi utani na ulete majibu hapa

jamvini. Au unaweza kula ndizi mbivu saa 1 kabla ya kula chakula. Au kunywa Maji mengi ya

uvugvugu kila siku japo kwa siku kunywa lita 2 za maji ya uvuguvugu au glasi 10 za Maji ya

uvuguvugu asubuhi kabla ya kula kitu kunywa maji ya uvuguvugu glasi 3 na kaa kwa muda wa

saa 1 bila ya kula chakula na wakati wa mchana kabla ya saa 1 ya chakula kunywa tena maji ya

uvuguvugu glasi 2 na wakati wa usiku kunywa tena glasi 2 za maji ya uvuguvugu kabla ya saa 1

ya wakati wa kula chakula cha usiku . na wakati wa kwenda kulala kunywa tena maji ya

uvuguvugu glasi 1kisha lala fanya hivyo kila siku kisha uje unipe matokeo yako.Baada ya siku 7 Uguwa pole.
 
Asali mwanamke akipaka kwenye uke inasaidia kuuwa Bacteria na akijipaka mwanamke asali kisha akaamuwa kufanya mapenzi na wewe dume basi ukifanya nae mapenzi utamganda kimapenzi hutoweza kutoka kwake utampenda sana huyo mwanamke . Kitunguu Saumu chenyewe ni Antibiotic kiwenye tena na Bacteria Mkuu Wallet umesoma wapi shule kuwa Kitunguu saumu kina Bacteria?
Mh! Hapo tutaanza kutofautiana unless umeleta majibu yasiyo na shaka. Kitaalamu si asali wala kitunguu kina bakteria. Ni kama kula pipi na biskuti na kisha meno kuharibika. Asali huchochea kuzalisha bakteria wabaya ambao huua bakteria natural na ndio maana mwanamke anaweza kupata mashambulizi yasiyokoma ya fangasi na UTI. Bakteria wanapenda sukari thas y wanazaliana kwa wingi penye sukari. Nikauliza je, si hivyo pia kwa kitunguu swaumu? kwamba waweza tumia kunogesha ngono kisha ukamwacha mwenzio na uchafu utakaomsababishia mazaliano ya bakteria wabaya?
 
Wewe kwa akili yako na elimu yako ya shule uliyosoma Asali inaweza

kweli kuleta Bacteria umejifunza wapi hiyo elimu yako? Sitopenda kushinda na mtu asiyejuwa

kitu. Asali imetaja katika kitabu cha Waislam Quran kuwa ni Dawa na yenye kuponyesha kila maradhi sitoweza kukupa faida ya asali na kitunguungu saumu fuatilia Thread Zangu humu

Jamvini utaweza kufaidika kuliko wewe kutaka kushindana na mimi Ki Elimu ya dawa za asili

hutoniweza kabisa. Ninakupa Thread moja kuhusu Faida ya Asali bonyeza hapa. FAIDA 27 ZA KIAFYA ZIPATIKANAZO KWA KUTUMIA ASALI NA MDALASINI

na Thread ingine hii hapa kuhus Faida ya kutumia Kitunguu Saumu Bonyeza hapa.Topic: Faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom