Fahmi Dovutwa Yuko Wapi?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Jamani namuulizia huyu jamaa Fahmi Dovutwa aliyejiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama chake cha United Peoples Democratic Party (UPDP) yuko wapi na anafanya nini sasa hivi? Jamaa alinikuna sana na sera zake za kua akichaguliwa atajenga kiwanda cha silaha.
dovutwa.JPG
 
huyu jamaa sijui kapotelea wapi,utakuta kazi yake aliyopewa na CCM aliimaliza akaondoka zake
 
Nilisikia eti aliingia bungeni kama mgeni mualikwa lakini alikataa katukatu kuvua kofia wakamzuia kuingia na yeye akaamua kuishia zake!
 
Jamani namuulizia huyu jamaa Fahmi Dovutwa aliyejiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama chake cha United Peoples Democratic Party (UPDP) yuko wapi na anafanya nini sasa hivi? Jamaa alinikuna sana na sera zake za kua akichaguliwa atajenga kiwanda cha silaha.
dovutwa.JPG
huyu alikuwa pandikizi tu maana dakika ya mwisho alisema waliwote wanaomuunga mkono wampigie jk
 
Back
Top Bottom